Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Wenye akili ni wawili tu huko,hii hoja ya mshahara wa chama inahusianaje na makombe ya Simba?
Kwenye vipengele vilivyopo kwenye mkataba wake, kuna kipengele kinasema atapandishiwa mshahara kila Simba inapochukua kombe.
 
Ishu ya Pacome ingekuwa imevunja kanuni, Yanga wasingefika hata robo fainali ya CAF champions league. CAF wamenyooka sana kwenye suala la kumtumia mchezaji kwenye mashindano yao.
 
Kolozuu,kolozwaaa,koloziii waga ndivyo yanavyokoroma yakiwa yamelala yakiota ndoto za kutisha mambumbumbu ndoto za misimu mitatu makocha saba mafanikio kombe la kibegi, channel ya Whatsapp na kombe la muungano.
 
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.

Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.

Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?

Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?

Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?

Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?

Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?

PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
kuipoka yanga points zipi?
 
Unateseka ukiwa wapi?

Tafuta pesa umuondoe Mzee MO pale Nguruwe FC uindeshe timu!
 
Bokungu ilikujagundulika baadaye
Ishu ya Bokungu ni tofauti na ishu ya Yanga japo ni kweli iligundulika baadae. Na ndio maana baada ya hapo CAF wakaja na vipengele na taratibu nyingi za mchezaji kuingia kwenye mfumo hiyo yote ni kujiridhisha uhalali wa mchezaji.
 
Tff kwa simba na yanga zetu, wanafamya kila hali ziwe juu.

Sasa yanga akatwe point kule champions league aende azam?
Hizi timu zetu mbili ni zaidi ya timu za mipira.
 
Kkumbe ngao ya jamii nayo ni kombe?
Tayari Simba wanayo mawili,moja walichukua mbele yenu,la pili wamechukua mbele ya anayewafuatia kwenye msimamo,sasa akichukua na hili ni uzembe wenu
 
Tff kwa simba na yanga zetu, wanafamya kila hali ziwe juu.

Sasa yanga akatwe point kule champions league aende azam?
Hizi timu zetu mbili ni zaidi ya timu za mipira.
Mkuu nawewe umeingia kwenye hii propaganda ya pacome?
 
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.

Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.

Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?

Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?

Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?

Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?

Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?

PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Siyo pacome fuatilia vizuri pacome aliumia sana nadhani ni mayele
 
Tatizo sio Fifa Bali Tff, wao ndio wanashigulika na usajili pia wao ndio Wana mawasiliano moja kwa moja na Fifa.
Kama makosa ya usajili yamefanyika yameanzia kwao na sio Fifa..
Pia Fifa watakuwa wamewaeleza ni m hezaji gani aliyesimamishwa Ila TFF wameficha makusudi kwa sababu wakiweka wazi timu nyingine zitafai ushindi.
Msomali anamsaidia msomali mwenzake..
 
Back
Top Bottom