Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Kama mnaona ni haki Yanga kukatwa points basi FIFA isingefumbia macho. Ukiona kimya basi jua hilo swala la kukatwa points halipo. Hizi za humu jukwaani ni changamsha siku iende
Sijaongelea swala la yanga kukatwa point kwa sababu swala lenyewe limefanywa usiri na yanga na Tff, nimesema fifa wanawasiliana na Tff lakini Tff Wana kanuni Kama kosa la yanga wanajua ni kanuni gani watumie. Tff wamewafungia yanga kufanya usajili wa ndani bila kuweka wazi kosa lililofanyika.
 
CAF wanapokea taarifa toka Tff, Kuna swala la Bukungu ambao Simba walimkatia rufaa cas ni wazi alipitishwa na Tff ya Kongo na CAF wakamruhisu acheze Ila Simba walipolalamika ukaanza mlolongo mzima wa uchunguzi ikabainika usajili wake haikuwa umekamilika

Sheria za. CAF zinataka wachezaji wapitishwe kwanza na vyama vya ndani ndio waruhusiwe na CAF.

Kwa kipindi hiko inawezekana FA husika ikafanya usanii na ndio maana FA ya Congo ilifanya hilo kosa. Ila baadae CAF walifanya maboresho kwennye mashindano yao hasa kwenye utaratibu za kuingiza wachezaji kwenye mfumo wa CAF, kuna details nyingi ambazo zinatakiwa ziingizwe kwenye systems moja kwa moja ya CAF.
Sasa hivi timu inatakiwa ibainishe hadi taarifa ya mchezaji kuhusu klabu ya mwisho kuchezea ni ipi na inatokea nchi ipi maanake wanafuatilia kabla ya kutoa vibali. Angalia hapo chini
IMG_20240430_153446.jpg
 
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.

Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.

Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?

Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?

Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?

Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?

Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?

PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Haya basi tutawapeni point nne mfurahi ili mpate kombe la Muungano na hizo point n1.
 
Pacome anahusika vipi na kufungiwa kwa yanga ?
 
Back
Top Bottom