Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Tatizo sio Fifa Bali Tff, wao ndio wanashigulika na usajili pia wao ndio Wana mawasiliano moja kwa moja na Fifa.
Kama makosa ya usajili yamefanyika yameanzia kwao na sio Fifa..
Pia Fifa watakuwa wamewaeleza ni m hezaji gani aliyesimamishwa Ila TFF wameficha makusudi kwa sababu wakiweka wazi timu nyingine zitafai ushindi.
Msomali anamsaidia msomali mwenzake..
Vipi kuhusu CAF? Ingekuwa Yanga hakushiriki michuano ya CAF tungesema TFF inaibeba Yanga lakini Yanga imecheza hadi michuano ya CAF je unataka kusema CAF nao wamekosa umakini kwenye mfumo wao wa usajili wa mchezaji?
 
Na alicheza mechi ijayo utaandika Nini Tena
Mashabiki wa Simba wanataka ubingwa wa NBC kwa nguvu kwa ushindi wa mezani. Wanafanya kutumia nadharia tu kuwa huenda huenda kibao. Pacome ana majeraha na lipo wazi kabisa na hata jana alipokuwa anafanya mazoezi na wenzie unaona kabisa hajakaa sawa kwa asilimia mia.
 
Tatizo sio Fifa Bali Tff, wao ndio wanashigulika na usajili pia wao ndio Wana mawasiliano moja kwa moja na Fifa.
Kama makosa ya usajili yamefanyika yameanzia kwao na sio Fifa..
Pia Fifa watakuwa wamewaeleza ni m hezaji gani aliyesimamishwa Ila TFF wameficha makusudi kwa sababu wakiweka wazi timu nyingine zitafai ushindi.
Msomali anamsaidia msomali mwenzake..
Kama TFF inaficha, unahisi FIFA haiwezi kuikata point Yanga au unahisi FIFA haiwezi kuishinikiza TFF kufuata sheria? Kwahiyo unahisi FIFA anaiogopa TFF na Yanga ndio maana kwamba hawawezi kutoa adhabu?
 
Nisaidie kitu ndugu yangu, naomba hiyo taarifa ya FIFA naTFF zikimtaja Pacome kama ndiye mhusika maana ilinipita sijaisoma.

Pia vipi na kule Caf CL Yanga akatwe point pia, CR Belouizdad awe wa pili, robo fainali ichezwe tena Mamelord na CR Belouizdad, ngoma zianze upya pia
 
Mashabiki wa Simba wanataka ubingwa wa NBC kwa nguvu kwa ushindi wa mezani.
Mashabiki wa Simba tumekuambia lini kuwa tunataka ushindi wa mezani? Msemaji wetu alikuwa nani? Anatokea tawi gani na mlikubaliana kwa vigezo vipi kuwa anatuwakilisha? Kama kuna shabiki wa Simba huwa mnanong'onezana mambo mkiwa mnapojua ni nyinyi usimtumie kutuwakilisha.
 
Huyu mleta uzi ni shabiki wa timu gani kama sio Simba? Hilo nalo la kubisha?

Uzi mwingine huu hapa wa mwana Simba mwingine

Au hawa leo wanakanwa sio mashabiki wa Simba?
 
Huyu mleta uzi ni shabiki wa timu gani kama sio Simba? Hilo nalo la kubisha?

Uzi mwingine huu hapa wa mwana Simba mwingine

Au hawa leo wanakanwa sio mashabiki wa Simba?
Ndo maana nikakuambia kama kuna shabiki wa simba mnaambiana hayo usimtumie kutuwakilisha wote. Hayo ni mambo yenu.

Mashabiki wa2 Yanga wakiniambia tunamtaka Chama ni sawa kusema mashabiki wa Yanga wanamtaka Chama?
 
Nisaidie kitu ndugu yangu, naomba hiyo taarifa ya FIFA naTFF zikimtaja Pacome kama ndiye mhusika maana ilinipita sijaisoma.

Pia vipi na kule Caf CL Yanga akatwe point pia, CR Belouizdad awe wa pili, robo fainali ichezwe tena Mamelord na CR Belouizdad, ngoma zianze upya pia
Barua ya tff haijataja jina la mchezaji
Ila wafukunyuzi wamedai ni pakome baada ya kutochezeshwa kwa muda mrefu tangu atoke majeruhi
Vipi kambole mnamlipa lini?
 
Attachments

  • 20240430_091200.jpg
    20240430_091200.jpg
    198.9 KB · Views: 1
  • 20240428_181719.jpg
    20240428_181719.jpg
    184.5 KB · Views: 1
Barua ya tff haijataja jina la mchezaji
Ila wafukunyuzi wamedai ni pakome baada ya kutochezeshwa kwa muda mrefu tangu atoke majeruhi
Vipi kambole mnamlipa lini?
Basi kama hajatajwa Pacome, tunahitaji uthibitisho mwingine rasmi kwamba hilo swala linamuhusu Pacome.
 
Ndo maana nikakuambia kama kuna shabiki wa simba mnaambiana hayo usimtumie kutuwakilisha wote. Hayo ni mambo yenu.

Mashabiki wa2 Yanga wakiniambia tunamtaka Chama ni sawa kusema mashabiki wa Yanga wanamtaka Chama?
Ndugu una stress sio bure. Cha kwanza hakuna mahali nilipotamka kuwa wote na la pili ni kama unashindwa kujua matumizi ya lugha. Neno mashabiki ni wingi wa neno shabiki. Na wingi huanzia zaidi ya mmoja hilo nalo la kufundishwa hapa? Na wingi nimetumia kwa mifano hai nimekupa nyuzi mbili za mashabiki wa Simba wakishinikiza hilo maanake ni sahihi kutumika wingi kwavile imeshavuka moja.
 
Barua ya tff haijataja jina la mchezaji
Ila wafukunyuzi wamedai ni pakome baada ya kutochezeshwa kwa muda mrefu tangu atoke majeruhi
Vipi kambole mnamlipa lini?
Mna uthibitisho wa kitabibu kuwa yuko fiti kwa asilimia mia kucheza baada ya majeraha aliyopata?
 
Ndugu una stress sio bure.
Kama nina stress, nakupa stress na wewe ya kujieleza boss na unajitahidi kweli.

Haya twende kazi, mashabiki wa Simba wanataka nini kingine msimu huu? Maana jambo likiongelewa na wawili inatosha kueleza kuwa ni matakwa ya mashabiki.
Jibu ukizingatia matakwa ya mashibiki wawili wawili wa Simba.
 
Kuna mpumbafu mmoja huko Instagram anaitwa yeriko Nyerere ndio kaanzisha hizi story na kwa jinsi watanzania wengi wana akili ndogo wamejaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kama TFF inaficha, unahisi FIFA haiwezi kuikata point Yanga au unahisi FIFA haiwezi kuishinikiza TFF kufuata sheria? Kwahiyo unahisi FIFA anaiogopa TFF na Yanga ndio maana kwamba hawawezi kutoa adhabu?
Kuna maelekezo yanatokea Fifa kwenda Tff, Fifa huwa inawasiliana na wanachama wao moja kwa moja. Ni wazi Fifa walieaeleza ni mchezaji gani mwenye tatizo. Tff ilitakiwa kuangalia.kanuni zake zinasemaje ndio maana Tff wameifungia yanga kufanya usajili wa ndani na sio Fifa
Kuna swala la Kambore sababu ni mchezaji wa kimataifa na kesi alimfungulia Fifa unaona Fifa wdmetoa adhabu moja kwa moja..
 
Vipi kuhusu CAF? Ingekuwa Yanga hakushiriki michuano ya CAF tungesema TFF inaibeba Yanga lakini Yanga imecheza hadi michuano ya CAF je unataka kusema CAF nao wamekosa umakini kwenye mfumo wao wa usajili wa mchezaji?
CAF wanapokea taarifa toka Tff, Kuna swala la Bukungu ambao Simba walimkatia rufaa cas ni wazi alipitishwa na Tff ya Kongo na CAF wakamruhisu acheze Ila Simba walipolalamika ukaanza mlolongo mzima wa uchunguzi ikabainika usajili wake haikuwa umekamilika

Sheria za. CAF zinataka wachezaji wapitishwe kwanza na vyama vya ndani ndio waruhusiwe na CAF.
 
Ishu ya Pacome ingekuwa imevunja kanuni, Yanga wasingefika hata robo fainali ya CAF champions league. CAF wamenyooka sana kwenye suala la kumtumia mchezaji kwenye mashindano yao.
Inaonekana unaishi kwa hisia huujui ukweli wa hizi issue
 
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.

Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.

Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?

Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?

Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?

Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?

Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?

PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Ule ushindi wa tar 5/11/2023 wapewe Simba, hapo si ni sawa au unasemaje.
 
Inaonekana unaishi kwa hisia huujui ukweli wa hizi issue
Hata wewe unaishi kwa hisia vile vile, maana hakuna ushahidi wowote unaonesha kuwa mchezaji husika ni Pacome. Pacome alikuwa na majeraha je una cheti cha daktari kinachoonesha kuwa yuko fiti asilimia mia kucheza mechi? Mazoezi tu ameanza kushiriki na wenzie na bado anaonekana kabisa hayupo sawa.
 
Kuna maelekezo yanatokea Fifa kwenda Tff, Fifa huwa inawasiliana na wanachama wao moja kwa moja. Ni wazi Fifa walieaeleza ni mchezaji gani mwenye tatizo. Tff ilitakiwa kuangalia.kanuni zake zinasemaje ndio maana Tff wameifungia yanga kufanya usajili wa ndani na sio Fifa
Kuna swala la Kambore sababu ni mchezaji wa kimataifa na kesi alimfungulia Fifa unaona Fifa wdmetoa adhabu moja kwa moja..
Kama mnaona ni haki Yanga kukatwa points basi FIFA isingefumbia macho. Ukiona kimya basi jua hilo swala la kukatwa points halipo. Hizi za humu jukwaani ni changamsha siku iende
 
Back
Top Bottom