Kama timu kuwa kupungufu ndio guarantee ya kupata matokeo mazuri basi Simba wasingetolewa na Mashujaa waliokuwa pungufu tangia kipindi cha kwanza.Na sasa marefa wanatoa kadi nyekundu kama njugu kuwasakia point kwa udi na uvumba ili wakinyang'anywa point za nyuma walau wacheze playoff
Kwenye vipengele vilivyopo kwenye mkataba wake, kuna kipengele kinasema atapandishiwa mshahara kila Simba inapochukua kombe.Wenye akili ni wawili tu huko,hii hoja ya mshahara wa chama inahusianaje na makombe ya Simba?
Ndio hivyo Mzee, kwamba Yuko hoi. Wakati afya yake ni njemaAisee. Bibi wa watu kazushiwa ni mahututi siyo 🤣😂🤣
Bokungu ilikujagundulika baadayeIshu ya Pacome ingekuwa imevunja kanuni, Yanga wasingefika hata robo fainali ya CAF champions league. CAF wamenyooka sana kwenye suala la kumtumia mchezaji kwenye mashindano yao.
kuipoka yanga points zipi?Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.
Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.
Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?
Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?
Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?
Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?
Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?
PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Makolo bhana mnachekesha sana.Ugonjwa wa akili is realWako wanaendelea na uchungunzi wa michezo aliyo cheza ni swala la mda
Unateseka ukiwa wapi?Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.
Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.
Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?
Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?
Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?
Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?
Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?
PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Ishu ya Bokungu ni tofauti na ishu ya Yanga japo ni kweli iligundulika baadae. Na ndio maana baada ya hapo CAF wakaja na vipengele na taratibu nyingi za mchezaji kuingia kwenye mfumo hiyo yote ni kujiridhisha uhalali wa mchezaji.Bokungu ilikujagundulika baadaye
Hiki kichekesho kingenoga zaidi kama Benchikha mwenyewe asingerekekodiwa akitamka maneno hayoNdio hivyo Mzee, kwamba Yuko hoi. Wakati afya yake ni njema
Tayari Simba wanayo mawili,moja walichukua mbele yenu,la pili wamechukua mbele ya anayewafuatia kwenye msimamo,sasa akichukua na hili ni uzembe wenu
Mkuu nawewe umeingia kwenye hii propaganda ya pacome?Tff kwa simba na yanga zetu, wanafamya kila hali ziwe juu.
Sasa yanga akatwe point kule champions league aende azam?
Hizi timu zetu mbili ni zaidi ya timu za mipira.
Sijui sakata hilo kiundaniMkuu nawewe umeingia kwenye hii propaganda ya pacome?
Siyo pacome fuatilia vizuri pacome aliumia sana nadhani ni mayeleNilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni.
Hata hivyo inavyoelekea kwa sasa,huemda haya maamuzi ya FIFA ni kama ya kisiasa na hayana maana yoyote.Kwamba Yanga akithibitisha malipo ya ada ya mchezaji,zuio la kusajili linaisha.
Kitu cha ajabu ni kwamba,Yanga wamepewa zuio la kusajili,sio la kumchezesha Pacome,kwa nini hawamchezeshi?Au ndio majeruhi?
Kama Yanga hawamchezeshi kutokana na zuio hilo,ni nini wanaogopa kitatokea?
Kama kosa la kutopandisha malipo ni dogo tu hivyo,si waendelee tu kumchezesha?
Kama kwa sasa ni makosa kumchezesha,je alipochezeshwa awali kwa nini isiwe makosa?
Je, Yanga hawastahili kupokwa pointi kwenye michezo yote waliyomchezesha huyu mchezaji?
PIA SOMA
- Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)
Azam anarukwaje?Duuuh kumbe balaaa yanga wapokwe pointi simba mshindi
Kwa nini umechagua 9 tu?Tutoe point 9.....vp apo mbumbumbu wataongozanligi???