Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

Kama mnaona ni haki Yanga kukatwa points basi FIFA isingefumbia macho. Ukiona kimya basi jua hilo swala la kukatwa points halipo. Hizi za humu jukwaani ni changamsha siku iende
Sijaongelea swala la yanga kukatwa point kwa sababu swala lenyewe limefanywa usiri na yanga na Tff, nimesema fifa wanawasiliana na Tff lakini Tff Wana kanuni Kama kosa la yanga wanajua ni kanuni gani watumie. Tff wamewafungia yanga kufanya usajili wa ndani bila kuweka wazi kosa lililofanyika.
 

Kwa kipindi hiko inawezekana FA husika ikafanya usanii na ndio maana FA ya Congo ilifanya hilo kosa. Ila baadae CAF walifanya maboresho kwennye mashindano yao hasa kwenye utaratibu za kuingiza wachezaji kwenye mfumo wa CAF, kuna details nyingi ambazo zinatakiwa ziingizwe kwenye systems moja kwa moja ya CAF.
Sasa hivi timu inatakiwa ibainishe hadi taarifa ya mchezaji kuhusu klabu ya mwisho kuchezea ni ipi na inatokea nchi ipi maanake wanafuatilia kabla ya kutoa vibali. Angalia hapo chini
 
Haya basi tutawapeni point nne mfurahi ili mpate kombe la Muungano na hizo point n1.
 
Pacome anahusika vipi na kufungiwa kwa yanga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…