Subaru Fans Special Thread

Mie napenda Beatle old model sijui kwa nini? hivi zinapatikana wapi! mwenye kujua................... nacho zipendea kukatiza kwenye vidimbwi kwa ukatili!
 
Mimi napenda hizi Subaru forestor za kuanzia mwaka 2008, japo nakatishwa tamaa kua hazifaa kwa ladies kweli?? Nipeni moyo maana naipenda sana ....Mungu akipenda December naiagiza.
Usikatishwe tamaa ktk ndio zako kila mtu ana njia yake ya mahitaji na mafanyikio go madamee na iweke kikike kike na kula colour moja amazing ukipenda nenda sport rims wanaokukatisha tamaa watakuja kuomba picha wenywe na lift na kupata experience kwako chuma iko huwani sina shida na kima wala maoni ya mtu

Cc za Subaru forester ni ndogo ukilinganisha na brevis,crown,mark X lakini wengi tunaona Subaru ni jini kumbe ni kawaida Tu
Kwa io kwenye gari wahsi Cc ndo mbio? Njoo na Cc zako 3000+ kwenye turbo Cc 2500 utaelewa somo vzur hapo kwenye. Gari umetaja only crown athletics yenye 2gr engne Cc 3500 ndo kdgo tishio izo zingne n ist zilizochangamka tu
 
Umesoma comment Yangu vizuri au umekurupuka?
Wapi nimetaja ishu za mbio? Nyie watu mnapenda ligi za ajabu
 
Kwa io kwenye gari wahsi Cc ndo mbio? Njoo na Cc zako 3000+ kwenye turbo Cc 2500 utaelewa somo vzur hapo kwenye. Gari umetaja only crown athletics yenye 2gr engne Cc 3500 ndo kdgo tishio izo zingne n ist zilizochangamka tu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ist zilizo changamka nimecheka kweli.. 2GR nayo si inawezekana kufanya modification ukaiongezea nguvu kwa kuweka turbo ? kuna gari zina CC ndogo ila moto wake sio wa kitoto kwa mfano hata scirroco yenye 1.4 TFSI ni shida
 
Itakucost sanaa na gari inaweza isibehave unavyotaka sema labda kufanya delimit tu na kufanya modification ya throttle press 2gr inakula majesta Cc 3000 V8 very smooth yaani
 
Nimekupata sana mkuu. Hii 2GR imevutia sana, Mwenyezi Mungu akijalia nitavuta hii kitu huko mbeleni japo naziona chache
 
Bongo ziko chache na shida wengi hawazijui vzur cost mostly bongo wanunuzi wa magari n kwa usafiri na show off wachache sanaa anaagiza au kununua gari na kujua undani ktk ubora na faults za gari husika but tuko buzy sanaa na maisha pia eboo🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…