Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Nimeangalia hata beforward ni chache sana pia mkuu.. sijui hadi siku napata hela zitakuwepo bado 😀😀😀Bongo ziko chache na shida wengi hawazijui vzur cost mostly bongo wanunuzi wa magari n kwa usafiri na show off wachache sanaa anaagiza au kununua gari na kujua undani ktk ubora na faults za gari husika but tuko buzy sanaa na maisha pia eboo🤣🤣🤣
Ukipata mtu alieitunza bongo mbna fresh tu sema huwez kosa kitu kwa dunia ya sasa mchawi pesa tu waweza hata agiza special order 🤣🤣🤣Nimeangalia hata beforward ni chache sana pia mkuu.. sijui hadi siku napata hela zitakuwepo bado 😀😀😀
Gari za mikononi mwa watu noma sana huwa sizielewi kitu unaagiza mwenyewe kutoka nagoya pale 😀😀😀Ukipata mtu alieitunza bongo mbna fresh tu sema huwez kosa kitu kwa dunia ya sasa mchawi pesa tu waweza hata agiza special order 🤣🤣🤣
Naona wewe unamsema yuleee!! wa majumba sita karibu na karakarata??/! yule bwana yaliyomkuta ni makubwa hata sijui alipoteleaga wapi..... hayupo bana siku hiziYuko dar mshkaji bro
Wala huyu n jamaa wa mikocheni mzeeNaona wewe unamsema yuleee!! wa majumba sita karibu na karakarata??/! yule bwana yaliyomkuta ni makubwa hata sijui alipoteleaga wapi..... hayupo bana siku hizi
Basi sawa mazeeWala huyu n jamaa wa mikocheni mzee
machalii wa chuga hahahaTaabu ya hizi gari wamiliki wake wengi wanakula miraa na konyagi...sijui kwa nini..
Jamaa niliokwambia jana kashusha kidude kingine kinakula utaalamu ntakileta kikishakuwa mkaoJamani kifupi napenda ndinga mie yaani wacha tu kwenye fani yangu nipo tu lkn ndinga bwana nazipenda sana!! lazima nishushe kitu si kawida!!
MKuu baba thamahani thana bana!! thatha hii mkuu ya mwaka gani vile? ujue umenikumbusha mbalisana mpaka uchozi unanitoka hii Nakumbuka vita ya pili ya Dunia Babu yangu wa pili alikuja nayo hii!! pamoja na pikipiki yenye propeller!! ..Jamaa niliokwambia jana kashusha kidude kingine kinakula utaalamu ntakileta kikishakuwa mkao
View attachment 2000205
Hee!! eee!! bana wee!e!! wakikusukiaaa!!!Waendesha subaru wengi mnakua mnavuta na mjani kidogo? Hizo vurugu barabarani+mikelele 😂😂
🏃♀️🏃♀️Hee!! eee!! bana wee!e!! wakikusukiaaa!!!
Yani kelele ndo raha enyewe sasa kuendesha chuma hilo. Unaendesha gari hata mtu mita 20 mbele hasikii jamani kama kuna gariWaendesha subaru wengi mnakua mnavuta na mjani kidogo? Hizo vurugu barabarani+mikelele [emoji23][emoji23]
tunanunua IST sababu akaunt hazisomi. Siyo kwamba tunazipenda.kigari kimekaa km bajaji.Kijana anayeendesha ist na kijana anayeendesha Forester..ni watu wawili tofauti kimtazamo..
Wa subaru ana mitazamo ya starehe...wa ist utakuta ana mitazqmo ya maisha ya miaka hamsini ijayo..
Niamini mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uko sahihi kabisa, mfuko wa mtu ndio unaoamua aina ya gari ya kununua.tunanunua IST sababu akaunt hazisomi. Siyo kwamba tunazipenda.kigari kimekaa km bajaji.
Maisha,maendeleo ni mtazamo wa mtu binafsi havina uhusiano na mtu kutembelea IST au Subaru. Ni mawazo ya ajabu kabisa.
Kabisa Mkuu pamoja na malengo ya kununua hiyo gari.Mkuu uko sahihi kabisa, mfuko wa mtu ndio unaoamua aina ya gari ya kununua.
Kuna mshkaji mtaani kwetu anayo Forester XT namba DXT akamtongoza demu wangu.tunanunua IST sababu akaunt hazisomi. Siyo kwamba tunazipenda.kigari kimekaa km bajaji.
Maisha,maendeleo ni mtazamo wa mtu binafsi havina uhusiano na mtu kutembelea IST au Subaru. Ni mawazo ya ajabu kabisa.
Kwani alikuwa na kosa kumtongoza?Kuna mshkaji mtaani kwetu anayo Forester XT namba DXT akamtongoza demu wangu.
Demu wangu akamtolea nje, alivonisimulia nikamuuliza kwanini umenyea jamaa... Demu akasema "mimi nimeridhika na Passo yako baby"