Subaru foresta 2005 vs harrier 1999

Mchemiaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
174
Reaction score
189
wakuu kuna hizi gari mbili nataka tuchukue moja wapo naombeni ushauri ipi itakuwa nzuri kwa mizunguko ya mjin na safari za mkoani mwisho wa mwaka.




hiyo hapo juu subaru.




harrier hiyo hapo pia
 
Hiyo Harrier imezeeka sana aisee, Karibia miaka 20 Sasa Tangu itengenezwe


Hizi Ndio hapa Mjini zinauzwa hadi million6 zikitumika
 
Hiyo Harrier imezeeka sana aisee, Karibia miaka 20 Sasa Tangu itengenezwe


Hizi Ndio hapa Mjini zinauzwa hadi million6 zikitumika
vipi ulaji wa mafuta wa subaru nasikia zmekaa kimichezo sana sasa kwa mizunguko ya sokoni na kazini itanifaa kweli?
 
vipi ulaji wa mafuta wa subaru nasikia zmekaa kimichezo sana sasa kwa mizunguko ya sokoni na kazini itanifaa kweli?
Mkuu I've no experience na gari za Japan, mm natumia Germany brand, Volkswagen au Audi. Ungeomba ushauri wa hizi ningekupa mzuri sana.

Ila nakushauri pia angalia Volkswagen Touran, ni gari Nzuri sana na popote inaingia,

Achana na hizo gari common




Hii hapa


Gari Nzuri kubwa, boot ya kutosha, speed 260km/h
 
bei yake unakwendaje maana hzo nlizo zitaja bei haizid 15m
 
bei yake unakwendaje maana hzo nlizo zitaja bei haizid 15m
Ingia kwny mtandao km Be Forward then tafuta Volkswagen golf touran, Bei zake za kawaida sana, hata ushuru ni tofauti na gari za Japan, ingawa hizi nazo zinatoka Japan.

Hutajutia kununua hii gari mkuu.

Pia spare zake siku hizi zipo kila mahali.

Fuel consumption ni kawaida sana maana nyingi ni cc 1800-2000!
 
R. I.P. in advance kama atanunua gari ya hii speed
 
Hahaha mkuu mbona yangu ni speed 300km/h na nipo Salama, the highest speed Nimewahi kuendesha ni 270km/h ingawa Nina mpango nimalize zote 300 siku moja.

300 ni speed ya ndege wakati Wa ku-take off!
Nilifika siku moja 160 na kibiriti changu nikaogopa sana pamoja na kwamba sikuona shida kwenye gari
 
Duh kumbe umeandika 160 nilijua 260, ah usifanye hivyo siku nyingine utakufaa, Toyota sio gari ni usafiri tu wa kawaida, usicheze nao barabarani
Umesema toyota nini?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…