Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu tuko siti ya pili tunawasubir wa Asia na story zenu.
www.thecarexpert.co.uk
![]()
Who makes the most reliable engines? | The Car Expert
Extensive warranty data show that some famous-name car brands make some of the least reliable engines on the market.www.thecarexpert.co.uk
ko mkuu unataka kusemaje kwa ndugu zetu Wajereumani?![]()
Who makes the most reliable engines? | The Car Expert
Extensive warranty data show that some famous-name car brands make some of the least reliable engines on the market.www.thecarexpert.co.uk
Wanunue gari mpya, hizo used ni mimba tuko mkuu unataka kusemaje kwa ndugu zetu Wajereumani?
Mie ni mjapani ila kwa hizo gari mbili best bet ni Subaru!Team Toyota Lazima waponde huu uzi
Mie ni mjapani ila kwa hizo gari mbili best bet ni Subaru!
Kwa fun driving experience na vurugu barabarani na kujipatia speed tickets kadri upendavyo nunua Subaru.
Kwa matatizo ya umeme na kero zingine zinazohusiana na hizo nunua mazda[emoji23]
Katika gari ambayo huwezi nishawishi ninunue ni HondaSio kila subaru ni speedster, labda zenye turbo ambazo hawezi kupata fuel economy nzuri. Kama issue ni gari nyingine ambayo sio toyota ila ni reliable, fuel economy nzuri, ina driclve vizuri, aangalie honda crv. Mtu anyetaka fuel efficiency kwenye gari hawezi kununua Subaru hizi zenye turbo, hasa za miaka ya nyuma..
Katika gari ambayo huwezi nishawishi ninunue ni Honda
Mbovu hizo gari af sizielewagi kabisaHonda CR-V ina tatizo gani au huipendi tu?
Vp gari za kia mkuuHonda CR-V ina tatizo gani au huipendi tu?
Ubovu wake ni nini? Ushaimiliki? Au kuona kwa mtu inamsumbua?Mbovu hizo gari af sizielewagi kabisa
Wengi zinawasumbua mkuu! Kukuta honda CR-V namba DS inauzwa million 5 sio jambo la kushangazaUbovu wake ni nini? Ushaimiliki? Au kuona kwa mtu inamsumbua?
Haiwezekani kuwa ikipata shida mafundi wanaziharibu? Maana magari mengi yanayokuja na tech mpya watu huwa wanasema hazifai halafu unakuta ni technology tu. Mfano mwanzoni gari zilizokuja na gearbox mfumo wa CVT watu waliponda sana kumbe hawajui oil zake...Wengi zinawasumbua mkuu! Kukuta honda CR-V namba DS inauzwa million 5 sio jambo la kushangaza