Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

Subaru Forester 2008 vs Mazda C5 2012

kayeja jr

Member
Joined
Dec 14, 2021
Posts
9
Reaction score
39
Wakuu nataman kujua kati ya hizi gari mbili ni gari ipi ya kuishi nayo in terms of
.perfomance
.durability
.reliability
.efficienty in terms of wese
na mazagazaga mengine

ila kwenye price naona kam hazitofautiani sana

BG154808_16f90e.jpg


hqdefault.jpg


Image-2-13-1024x575.jpg


1.jpg
 
Mazda nimesikia wanasema model za kuanzia 2014 (diesel) ni nzuri zaidi. Petrol sijasikia kero zake ila nimeongelea diesel kwa kuwa itakupa nguvu na fuel economy nzuri zaidi. Mazda, hasa CX5 sio gari mbaya ila sio zote ni AWD kama Subaru.
Hapo ni suala la mapenzi tu na bei, zote ni reliable, good driving dynamics, zinatulia barabarani.
Durability - zote ni durable
Fuel efficiency- Mazda diesel inakula vizuri zaidi
Reliability- just about the same, diesel za chini ya 2013 kuna mkenya nikisikia anasema zina issue kidogo
 
Mie ni mjapani ila kwa hizo gari mbili best bet ni Subaru!

Kwa fun driving experience na vurugu barabarani na kujipatia speed tickets kadri upendavyo nunua Subaru.

Kwa matatizo ya umeme na kero zingine zinazohusiana na hizo nunua mazda[emoji23]

Sio kila subaru ni speedster, labda zenye turbo ambazo hawezi kupata fuel economy nzuri. Kama issue ni gari nyingine ambayo sio toyota ila ni reliable, fuel economy nzuri, ina driclve vizuri, aangalie honda crv. Mtu anyetaka fuel efficiency kwenye gari hawezi kununua Subaru hizi zenye turbo, hasa za miaka ya nyuma..
 
Sio kila subaru ni speedster, labda zenye turbo ambazo hawezi kupata fuel economy nzuri. Kama issue ni gari nyingine ambayo sio toyota ila ni reliable, fuel economy nzuri, ina driclve vizuri, aangalie honda crv. Mtu anyetaka fuel efficiency kwenye gari hawezi kununua Subaru hizi zenye turbo, hasa za miaka ya nyuma..
Katika gari ambayo huwezi nishawishi ninunue ni Honda
 
Nimeipenda hiyo Mazda muonekano wake, ila sijajua engine yake ipoje na upatikanaji wa vipuri
 
Wengi zinawasumbua mkuu! Kukuta honda CR-V namba DS inauzwa million 5 sio jambo la kushangaza
Haiwezekani kuwa ikipata shida mafundi wanaziharibu? Maana magari mengi yanayokuja na tech mpya watu huwa wanasema hazifai halafu unakuta ni technology tu. Mfano mwanzoni gari zilizokuja na gearbox mfumo wa CVT watu waliponda sana kumbe hawajui oil zake...
 
Back
Top Bottom