Isio na Turbo ni XS mkuu ya 2000cckwa upande wang forester xt isiyo na turbo ni unyama mkuu lkn pia inatgmea na ww wnyew unapndlea hipi
Kwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GTkwa upande wang forester xt isiyo na turbo ni unyama mkuu lkn pia inatgmea na ww wnyew unapndlea hipi
Kwamba ikifika 100,000 jambo gani hutokea mkuu?Subaru forester za 2008 - 2012 zenye turbo zinasumbua kwenye cylinder head gasket na engine yake inahitaji uangalifu Sana engine ikifikisha 100k milage Kwa ushauri wangu kuchukua isiyo na turbocharger.....kama unataka Subaru forester zenye turbo ambazo ZINA unyama mwingi na kila aina ya sports nenda na Subaru za 2004-2007
Turbocharger inasumbua hasa ukiwa unasafiri safari ndefu kwahiyo inapelekea gasket kuungua watu wengi wenye hizi Subaru forester zenye turbo wanalalamika kuhusu hivyo.Kwamba ikifika 100,000 jambo gani hutokea mkuu?
Aisee mimi hii gari ingekua na gia 5 kwa automatic ningenunua yenye turbo...cha msingi ni kufanya service kubwa baada ya kufika 100,000kmTurbocharger inasumbua hasa ukiwa unasafiri safari ndefu kwahiyo inapelekea gasket kuungua watu wengi wenye hizi Subaru forester zenye turbo wanalalamika kuhusu hivyo.
Ninaye jirani yangu huku chamazi alikuwa na foresta ya 2005 yenye turbo mpaka anauza haijasumbua na sasahivi amenunua foresta 2008 isiyo na turbocharger hii yote imetokana na ushauri wa wadau wa magari kuwa aachane na hizo zenye turbo
Niko mbioni kununua gari Aina ya Subaru forester xt series au SH series Kwa wale wajuzi wa magari na wenye experience za magari ipi gari nzuri in terms of ÷
1:ulaji mafuta
2: stability
3:ukubwa wa engine
4:uimara wa engine
5: comfort Ukiwa ndani ya gari
Na kampuni gani nzuri itaniletea chombo Safi kabisa toka japaniView attachment 2391203View attachment 2391204
Hivi unajua kuwa 3S-GE inafua kati ya 170HP-200HP? Hakuna Forester non turbo inauweza moto wake.Kwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GT
2ZZ-GE ya Celica tu inampoteza mbaya huyo ForesterKwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GT
Kimsingi isiyo na turbo ni chaguo zuri kwa watu wengi. Ni rahisi kidogo kuimaintain. Inakera tu kitu kimoja, ina steering ya umeme ambayo hufa haraka tofauti na ya turbo ambayo ina steering ya hydraulic
Hili tatizo la Steering ya umeme, linatokea baada ya muda gani?
Mzee hio 2ZZ-GE ni moto wa kuotea mbali..hio ipo hata kwenye RUNX...gia 6 Front...2ZZ-GE ya Celica tu inampoteza mbaya huyo Forester
Mzee 3S-GE ni moto aisee...200HP ni balaa...Hivi unajua kuwa 3S-GE inafua kati ya 170HP-200HP? Hakuna Forester non turbo inauweza moto wake.
Sina experience ya moja kwa moja ila inategemea na matumizi, kama unapita kwenye madimbwi au njia chafu na mashimo ndani ya miaka 2-3 inaanza kukuita.
Conversion kwenda hydraulic inawezekana ila kwa sasa inaweza kugharimu kama 2m au chini kidogo ya hapo
Nna mwanangu ana hio Run X ni balaaMzee hio 2ZZ-GE ni moto wa kuotea mbali..hio ipo hata kwenye RUNX...gia 6 Front...