XT ndio ina turbo plain haina turbo( non turbo)
1. Ulaji wa mafuta ni karibia sawa ila kwenye highways XT ikifika almost speed 130 na rpms ikiwa juu turbo ikifunguka ulaji wa mafuta unaongezeka almost 30% pia uki washa s- drivee pia ulaji unaongezekaa. Kwenye highways 1ltr from 9-12km na 6-8 kwenye maeneo hasa ya mjini.
2. Stability ya Subaru sh5 ni nzuri (wastani) japo ni nyepesi sana hivyo ukipita barababa ambayo haijatulia( kama pale chalinze zile big G ) sio salama kukimbia , ila ukiwa umebeba kama watu wa 3 hv au mzigo kidogo angalau. Siti zake ziko chini kidogo kwa sababu ni gari zakukimbia kukupa balance.
3. Engine size 1990~ 2000cc kwa sh5 STI ni 2500cc na nyingi ni manually ( wengine wamesha elezea juu) engine ni jiwe kama utakuwa unafanya service kwa wakati, kwa mafundi wa Subaru (sio wa Toyota) , funga genuine parts zake (ni gharama kidogo zaidi ya Toyota) , sio kila oil unaweka , weka oil zenye standard ya kimataifa (antlantic, , liquily moil , castro etc.) usifanye service uchochoroni watakuwekea filter za kichina uatua engine mapema. Zingatia mafuta masafi ( tatizo kubwa sana sahvi) .
4. Ukiwa ndani ya gari xt ina kelele kidogo nadhani sababu ya ule mdomo wa turbo pale mbele .
Naipenda Subaru sh5 kwa Sababu ni gari nzuri ya bei yetu wajasiriamali wadogo , iko juu kwa rough road nzuri sana, kwenye utelezi iko vizuri sana ( kuna x- mass 1 nilipita ktk ya magari 5 yalinasa pembeni uko kijiji mm nika amsha intelligence button na VDC button nikapita ktk yao kama hakuna kilicho tokea [emoji1][emoji1]) ..