Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo

Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo

Subaru forester za 2008 - 2012 zenye turbo zinasumbua kwenye cylinder head gasket na engine yake inahitaji uangalifu Sana engine ikifikisha 100k milage Kwa ushauri wangu kuchukua isiyo na turbocharger.....kama unataka Subaru forester zenye turbo ambazo ZINA unyama mwingi na kila aina ya sports nenda na Subaru za 2004-2007
Engene ya yeny turbo na isiy na turbo mbona zina engene sawa ej20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TURBO ndo ilee gari inapga kelele kama alteza?? mbona mambo ya kitoto sana aiseeee.
 
TURBO ndo ilee gari inapga kelele kama alteza?? mbona mambo ya kitoto sana aiseeee.

Hapana usichanganye na gari zinazowekwa mods. Hizo zinazopiga kelele wanamodify exhaust tu na kufanya mods nyingine kama za kuongeza HP, mifumo ya hewa n.k
Za turbo zipo kibao tu ambazo hazipigi kelele, na originally zinakuja hivyo. Model za 2002-2012 utazigundua kwa pua yake pale kwenye bonnet, na zote hutambulika kama XT.
Model za kuanzia 2013 hazina pua ila specs zake ni XT (badge au spec sheet) itakuonyesha.
 
Back
Top Bottom