Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Jinsi haya magari mnavyoyachambua mnanitamanisha sana japo haya mambo ya spidi ya magari nawaachia wajuzi maana huku barabarani ni balaa,
kuna kipindi nilikuwa naitafuta mji kasoro usiku flani hivi kama saa 3 natembea 140 tu (kwa sie ambao hatuna uzoefu sana na ruti ndefu nilijiona kama napaa hivi) aisee nikiwa katikati ya safari kuna raia alinipita kwa spidi kama nimesimama vile
Hapo ndio niliamini kuna raia wanatembea😁, yaani hakunipa nafasi hata ya kulijua ni gari gani zaidi ya kuona taa nyekundu zile za breki zinaishilia