Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Hiyo gari inakula wese kama Cruiser mkonga.... Mkuu fanya kuiuza nunua Toyota Premio. Full tank Dar to Singida
 
sasa kati ya vogue na hiyo subaru ipi inabwia mafuta mengi ?? mbna wenye nazo wanazimudu ?? tatizo umenunua usichoweza mudu we nunua sanlg tu kwa sasa ndo unaweza mudu lita 65 zako unafika south
 
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Maana yake umetembea km 5.3 per litre. Wewe utakua ni tajili wa Tanzanite mkuu hongera bwana
 
LACHERO ni woga wetu tuu siku hizi tuna mafundi japo si wengi mimi nina BMW mini niliweka liter 20 nikaenda chalinze na kufanya mizunguko ya yangu na kurudi Dar bila taa ya mafuta kuwaka ....imagine 20 litres km zaidi ya 230 I LOVE BMW
Mkuu Mshana jr hii BMW ni aina gani?
 
Gear box oil nzuri ni ipi..vpi castrol
 
mkuu, kwani kuna hiyo option ya ku-upgrade kutumia gas huko tz?
 
mkuu, kwani kuna hiyo option ya ku-upgrade kutumia gas huko tz?

Wapo vijana pale DIT wana tools, vifaa vya kumodify fuel supply including sehemu ya kuwekea gas cylinder and what have you, ujuzi huo wanao sana.
 
Ndo maana inaitwa Subaru ukiwa unakimbia wewe mwenyewe unaskia Raha hakuna wakushinda na Subaru so lazima inywe
 
Mkuu samahan japo huu uzi una 5yrs now ila mm nataka unipe tofauti ya chaser na gx 110 asee nazipenda hizi gar n mm ni mtu wa kusafiri kila mwezi mara 1 dar-songea ipi itanifaaa kuanzia ulaji wa mafuta,speed na uimara n je ina maana subaru inasubir kwa chaser nawasilisha
 
Mkuu ushatembea safari ndefu na VW Golf? Subaru itasubiri sana pale by the way subaru kwa gari za Mjapani heshima
Lakini haiwezi kuwa na heshima zaidi ya harrier au kluger!! Ukiilinganisha na corrola sawa!!
 
What about harrier or kluger.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…