Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Mkuu hebu funguka zaidi ni oil gani nzuri kwa subaru legacy twin turbo? pia labda tujuze madhara ya kuweka filter ya kichina.
Quarts 9000 ya total nenda ununue kwenye vituo vyao madukani wengi wanachakachua sababu bei yake imesimama usitumie nyingine unless ninsythetic oil
 
Nashukuru sana mkuu nilikuwa natumia Castrol GTX 20w50 bila shaka nlikuwa nakosea ?
 
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena

Unakimbia sana
Tembea 80 au 90 kwa saa then leta mrejesho hapa
Na ukifanya masikhara litakuuwa hilo kwa mwendo wake
Alafu lina injin gan?
 
Mmm hiyo hatari sana Lita 65 km 350 sasa je? Ukiitafuta MUTUKULA mkuu ni lazima uandae kama M 1.5 iende irudi nakushauri badili mkuu hiyo mufilisi sana
 
.
Daaaaa! Inaonyesha ni jinsi gani hamna mawazo yakinifu hamkai na kupanga maisha kwa pamoja unaendeshwa na upepo , halafu unasema uwezo wa kununua upo , leo 10 m unaiona ndogo ipo siku utaiona ni kubwa. Na ipo siku atakwambia sitaki kumuona Mama yako hapo nyumbani .
Yanakujaje haya tena jaman,, unajua kipato chake ,unajua kawekeza nn au hata akija kuikosa hiyo hela atakufata umsaidie " kila mmoja na lifestyle yake bana.... Hebu kama huna uwezo tuachie muendelezo wetu""""
 
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Sasa ulitaka inywe mtori[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Wakuu Brevis nazo zipoje kwenye ulaji wa mafuta
Consumption yake iko juu... Specially zile zenye D4 tu... Afadhali zenye vvti... All in all niliweka lita 60.... Moro to iringa umbali wa km. 330.... Kwel nilikua nakimbia mpk 180.... Kufika iringa ngoma imewasha taa... Wakati huwa nikisafiri na verossa ya 1g fe kwa spidi hiyo hiyo natumia nusu tank tu...
 
Back
Top Bottom