Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Hebu tupe elimu kidogo hapo ili na sisi wengine tusije kupanda farasi wa shaba juanizipo tofauti zipo zisizo na zturbo, unywaji wake ni kawaida kabisa.
350Kms/65Ltrs = 5.38Kms/1Ltr
Duh, hilo linaitwa Jini Kisirani.
kama vipi sukuma hata kwa bei ya hasara Mkuu
Abadili gari achukue BMW ulaji wake wa mafuta ni nzuri sana hasa ukipata diesel version
Kati ya Subaru Forester na BMW X3 ipi ni nzuri kwenye performance, speed na durability?
Nani kasema gari zenye tubro inakula sana mafuta?hv unajua kazi ya turbo kwenye gari?
Hiyo gari ulinunuliwa na sugar mami nini? Kama ulinunua kwa akili yako timamu basi na wewe ikomalie tu kwa kuinyima mafuta.
Bado BMW can beat the rest
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
I said BMW X3.
Nani kasema gari zenye tubro inakula sana mafuta?hv unajua kazi ya turbo kwenye gari?
Au pia yawezekana Gari bovuHuyu jamaa si mkweli forester zote zina 60L labda hio 5 pamoja na reserve ila forester I na forester II average fuel consumption ni kuanzia 7.3-8.1 km kwa 1L ambayo ukiizidisha na either 60L au 65L full tank hapo unapata zaidi ya 430km na kuendelea sasa unless awe anaendesha kwenye msongamano mkubwa sana ndo inawezekana kutembea km 350 tu na ku refill na scenario ingine ni hilo gari ni bovu...