Sabayi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 2,310
- 999
Mkuu, heshima mbele kwa gari yoyote ya mjerumani.
Gari za mjapani kwa kawaida gearbox iko syncronised kwa speed ya hadi 180km/hr kulingana na sheria zao.
Lakini mjerumani kwenye outobahn zao gari zao ziko sync hadi 240-280km/hr!!!
Hata hivyo hal hla , ni sehemu chache sana nchini za "kupaa" hata kwa hiyo 180km/hr!!!
Ni kweli mkuu natumia VW Polo nimeshawahi tembea 180Km/hr tokea Nyororo hadi Mafinga pale barabara ni nzuri ila sitakaa nirudie cause ni sawa na kuvaa bomu tu muda wowote linakulipukia