Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Brother ya kwako ni ipi mimi kwanza fultanj yake ni 50 ltrs, nimijaza full tank kwa mwendo wa kawaida natumia 1 ltr kwa 12 km na nikiendesha 160-180+ inaenda km9-8 ful burudani..
Kuna kuendesha kwa fujo hasa automatic, unaweza kujuta, ile panda shuka ya spidi ni mbaya sana manake unakamua gari rapidly speed inashoot mpaka 120, kisha unakutana na tuta au speed limit unashuka ghafla mpaka 40, hapo ni sawa na kumlisha jini damu