Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Inatakiwa itumie reasonably...
Gaei la cc 1490 kwenda km 6kwa lita si mateso hayo.?
Nisaidie kujua matumizi ya mafuta kwenye gari huwa mnahesabuje. Toka nianze kumiliki gari 1997 sijawahi kuwaza jinsi gan gar inatumia mafuta/km
 
Shemeji yenu kaninunia kisa anataka Hii Subaru.
Anadai kaipenda sana, na vile ni 4WD basi simuelezi kitu. Anadai mafuta atajua mbele kwa mbele jinsi ya kuyapata, lakini kwanza Subaru kwanza ije nchini ndio amani irudi.

Uwezo wa kununua upo, maana hesabu za haraka haraka 10Mil ni tosha kabisa kwa hii gari, Ushauri wenu please unahitajika maana huo mnuno nliopewa na hii baridi ni balaa!!
Baba hapo unarubuniwa, vuta huo mchongo, akose wese. Utaulizwa wakt una nunua ulikuwa hujui lina kula wese???

In short huu mzigo ni mke wa pili ambaye hatoi K
 
kimondo msolopa Nataka kumiliki Subaru 2009-2012 Edition, naomba tofauti kati ya Subaru Forester XT na hiyo ambayo haijaandikwa XT kwenye fuel consumption, perfomance n.k
 
Nisaidie kujua matumizi ya mafuta kwenye gari huwa mnahesabuje. Toka nianze kumiliki gari 1997 sijawahi kuwaza jinsi gan gar inatumia mafuta/km
Njia rahisi fanya hivi....hapo kwenye dash kuna ile button ukiibonyeza unaweza kuona mileage ya gari au Trip A na trip B..
Gari likiwa limeswasha taa ya mafuta, nenda kaongeze mafuta mfano lita 5....
Kisha kabla hujaanza safari ya kuondoka kituo cha mafuta, tumia ile button ya kwenye dash borad kuchagua Trip A au B...utakayopenda....kisha bonyeza hiyo button bila kuiachia hiyo trip A au B itajiset na kuwa zero Km (O km).....hapo sasa endwsha gari lako na hiyo trip A itaanza kusoma Km ulizotembea. ....Taa ya mafuta ikiwaka tena una assume zile lita tano zimekwissha...hapo unasoma jumla ya km ulizotembea kwenye trip A auB...kutegemea ulichagua ipi...unaweza kukuta inasoma mfano Km 60...
chukua Km 60 ÷lita 5 ulizoweka utapata 12..

Hapo ina maana gari lako lilikuwa linatumia lita 1 kwa km 12 ...
Kumbuka ukiwa mazingira ya mjini, lita 1 itatembea km chache kuliko ukiwa high way..

kuna gari mjini inaweza ikakupa lita 1 kwa km 10, high way ikakupa lita 1 kwa km 14 au zaidi.
 
Suzuki Grande, kwa taarifa yako mi mademu hawaniumizi kichwa na gari nimeanza kumiliki ya kwangu kwa pesa yangu Grand Mark 2 miaka miwili tu baada ya kumaliza form six Makongo. Hii nadhani ni gari ya 7
Wazazi wako wanatembelea gari gani? Naamini Akili za Subaru Forester umezipata kwa mademu.
 
kimondo msolopa Nataka kumiliki Subaru 2009-2012 Edition, naomba tofauti kati ya Subaru Forester XT na hiyo ambayo haijaandikwa XT kwenye fuel consumption, perfomance n.k
Nijuavyo,XT ni Turbocharged,moto wa kuotea mbali kwa mbio na nguvu. Ila yana urafiki sana na maji ya uarabuni. Kwa pale mbele ya Bonnet kuna kiuwazi fulani hivi. Ila kwa kweli Subaru Forester Model ya mwaka 2008 na kuendelea gazi zake ziko safi sana,utadhani Vanguard. Ni gari nzuri sana,sema ugumu tu wa maisha ndo kinachofikirisha kuhusu mafuta. Labda tuhamie mfumo wa gesi wa pale Dar Tech(Sasa DIT)
 
Kweli kabisa mi nimependa seat zake sio kama mabenchi ya Rav.4 CHAZA sasa XT nyingine haina pua mbinuko kwa bonnet ina maana hii turbo ipo au haipo, na inasemekana eti made in Singapore ndio bora kuliko made in Japan hebu msaada kidogo kabla ya kujilipua
20190916_213138.jpeg
20190916_213311.jpeg
20190916_213242.jpeg
20190916_213255.jpeg
20190916_213123.jpeg
20190916_213104.jpeg
20190916_213152.jpeg
20190916_213205.jpeg
20190916_213222.jpeg
 

Attachments

  • 20190916_213311.jpeg
    20190916_213311.jpeg
    59.3 KB · Views: 37
  • 20190916_213255.jpeg
    20190916_213255.jpeg
    46.3 KB · Views: 44
Kweli kabisa mi nimependa seat zake sio kama mabenchi ya Rav.4 CHAZA sasa XT nyingine haina pua mbinuko kwa bonnet ina maana hii turbo ipo au haipo, na inasemekana eti made in Singapore ndio bora kuliko made in Japan hebu msaada kidogo kabla ya kujilipuaView attachment 1209304View attachment 1209305View attachment 1209306View attachment 1209307View attachment 1209309View attachment 1209310View attachment 1209311View attachment 1209312View attachment 1209313
Aisee...
Siti za RAV 4 ni mabenchi..?
Hatari sana...[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama haina kapua basi ni non turbo...
Kale kapua ni kwa ajiili ya turbo kupumulia..
 
Yani mabenchi kabisa kama ya shule ya kata. Btw Rav 4 kilitime kurudi nyuma haziko comfortable nisamehe bure kwakweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Ni kweli ....Rav 4 Kili time na Rav 4 Masawe hamna comfortability mle.....
Kuna mtu utamwambia spacio new model ipo comfortable kuliko hizi na atabisha. ....
 
Kweli kabisa mi nimependa seat zake sio kama mabenchi ya Rav.4 CHAZA sasa XT nyingine haina pua mbinuko kwa bonnet ina maana hii turbo ipo au haipo, na inasemekana eti made in Singapore ndio bora kuliko made in Japan hebu msaada kidogo kabla ya kujilipuaView attachment 1209304View attachment 1209305View attachment 1209306View attachment 1209307View attachment 1209309View attachment 1209310View attachment 1209311View attachment 1209312View attachment 1209313
Mkuu Doama,hiyo ni bonge ya gari,chukua hiyo kitu mkuu. Uzuri gari za kwa wenzetu,kabla haijauzwa hufanyiwa ukarabati na inakua imesimama. Hivyo hadi ije ikusumbue baada ya miaka kadhaa. By the way,spare unaagiza tu kupitia Befoward. Kule juu ya link wakati unasach gari kwenye web ya befoward,kuna sehem ya spare parts,nimeangalia vitu vingi ni dola 40-150 tu.
 
Nikimsikia mtu anaisema Subaru naumia moyo sana. Ninayo sasa ni 4 yrs Forester yangu ninaifurahia kuliko chochote. Nimekaa na magari sana ila hapa kwa Forester nimefika. Silalamikii ulaji wake mafuta ila nalalamikia fine za mwendo kasi tu. Ar - Dodoma 3-4hrs ni gari gani itakupa huo mwendo tena bila hofu ya kuyumba njiani. Kama hujui matumizi ya Subaru utalalamika sana. Naweka full tank Moshi naongeza lts 38 Babati. Naingia Dodoma nazunguka mishe zote naongeza 50 Doma naingia Ar bila tatizo. Mnaotaka magari ya mafuta kidogo nunueni Ist
 
Hata mm nashangaa kuona mtu analalamika et subaru inakula mafuta, kwani umelazimishwa kuwa na subaru? Kama unaona ela yako aitoshi nenda kanunue vits

Ila walai siachi subaru kwani ni gari ngumu inayovumilia mgonjwa

Hapo rod utaipenda kwani performance yake ni kwere na lipo imara kama chuma cha paaaa

Subaru oyeeeeeee
 
Yani mabenchi kabisa kama ya shule ya kata. Btw Rav 4 kilitime kurudi nyuma haziko comfortable nisamehe bure kwakweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Kiukweli hata mimi sipendi kabisaaa 'mabenchi' ya Viti vya nyuma kwny Toyota nyingi.
 
Back
Top Bottom