Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Nisaidie kujua matumizi ya mafuta kwenye gari huwa mnahesabuje. Toka nianze kumiliki gari 1997 sijawahi kuwaza jinsi gan gar inatumia mafuta/kmInatakiwa itumie reasonably...
Gaei la cc 1490 kwenda km 6kwa lita si mateso hayo.?