Dah! ni swali kubwa sana coz ni magari mawili yanayofanana vitu vingi sana kwa upande wa engine kwenye body ndio kunatofauti...
mfano kwenye hayo magari yote kuna mabayo ni manual na Atomatic na pia kuna turbo..
labda tuu... cross sport zimeanzia 2005 hadi na 2008 kwa version ya SG
>>cross sport- ipo yenye turbo na non-turbo
Na xt zimeanza kuanzia 2002 na kuendelea na zina turbo zote ...
so kutokana na swali lako itategemea mapenzi yako yapo upande gani ingawa ikiwa nini nitachagua:-
Cross-sport ambayo ni SG9 STI-- Hapa utafurahia maisha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1213648