Subaru vs Vanguard

Umeelezea vzuri sana...
Ww jamaa kama huna nafasi sema nikuweke uwe waziri wa uchukuzi
 
Fuel consumption ya van guard ipoje?
 
Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M

Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa
Mbna toyota rush ina bei karibia na SUV nyingi tu
 
Ni 2GR-FSE hio mzee inafua 280HP with 5-Speed ECT enough kuimeza subaru mapema sana.

Kwa ile ya 2AZ pia inafua 170HP with 7-Speed CVT ambayo ni nyepesi sana kukamata mwendo mkali bila kuremba. Subaru non turbo lazma apotezwe na gear zake 4!

Imagine iyo 2GR imewekwa pia kene Toyota blade

Haka kagari ni kepesi balaaaaaa mchawi ni topspeed otherwise angewekewa kisahani cha GTi 300km/h kingepigiwa kelele sana humu[emoji91]
 
Kwa wabongo toyota ndio kila kitu huko kwingine utasikia kelele za spare na reliability kumbe ni mifuko yetu tu ndio shida
Si kweli mkuu . Issue ya reliability ya Toyota si bongo tu mkuu ni dunia nzima...you want comfort,luxury, performance, and maintainance stress/trauma go for any European brand cars, you want dependability, reliability, durability with very minimal stress level go for japanese made cars like Toyota and Honda..
 
Sawa bhana wenye magari ya Speed acha ni nyooshe goti kwenye carina Ti apa
Usiidhalau Carina TI/SI...hii ukiwa dereva si muoga na una giabox na engine nzuro unakalisha Subaru XT mapema sana..watu wajue Subaru XT is just a normal cross over not a performance car...
 

Subaru is also a Japanese brand and very reliable. Ila tu kwa bongo si common kama toyota na maintenance zinaweza kiwa expensive kidogo. But again ina advantages zake na Asymmetrical AWD, better safety features, na better stability. Mara nyingine ni suala la preference tu
 

Lakini Katika european Mercides anaamika sana hata uko ulaya ni expensive but known durable&reliable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…