Subaru vs Vanguard

Vanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M

Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa
Bei kubwa sio criteria ya gari kuwa bora. Amka usingizini usiendelee kupigwa
 
Kuna page nilikuta wanashindanisha HARRIER,FORESTER na MAZDA CX5 zote za 2015 halafu kwenye poll Mazda ndiyo inaongoza.

Nikaa-unfollow hiyo page!
 
Kuna page nilikuta wanashindanisha HARRIER,FORESTER na MAZDA CX5 zote za 2015 halafu kwenye poll Mazda ndiyo inaongoza.

Nikaa-unfollow hiyo page!
Mazda CX5 turbo na subaru forester yenye turbo, subaru inaachwa mbali... kwenye speed, naadhani hata comfortability subaru haifiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…