avocadothomas
Member
- Jul 4, 2013
- 16
- 10
hapo lazim ujue Forester km ni 2013 generation ipi ya 3 y 4Forester 2013 vs Guard 2013
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo lazim ujue Forester km ni 2013 generation ipi ya 3 y 4Forester 2013 vs Guard 2013
Bei kubwa sio criteria ya gari kuwa bora. Amka usingizini usiendelee kupigwaVanguard ni gari iliyoizidi Subaru Forester kwa mbali sana. Tuache yote kama performance n.k twende tu kwenye bei. Vanguard ina range kuanzia 30 - 35M wakati Forester inacheza kuanzia 17 - 22M
Bei tu ni kigezo tosha kuwa hizo gari si sawa
Chuma imetulia sana mkuuMimi SUBARU FORESTER kama hii nilichukua Mil 40+ gari inakupa stability ya hali ya juu, haiondoki barabarani kizembe, speed, afu laini ile mbaya.
Chukua Subaru forester XT hizi kubwa zinafanana na Kluger na VanguardView attachment 2465889
Ni kweli, ina cc kubwa nadhani kwa sababu haina kifurushi cha turbo.Ila 2gr ni engine nzuri. Very smooth na ina power ya kutosha bila kusahau reliability.
Shida ni mafuta tu
Yes. Na engine ikiwa natural aspirated inakua more reliable kuliko yenye turboNi kweli, ina cc kubwa nadhani kwa sababu haina kifurushi cha turbo.
Kwa CC 3500 hio 2GR-FSE wangeongeza na turbo, HP 500 zingefika...Yes. Na engine ikiwa natural aspirated inakua more reliable kuliko yenye turbo
Yes 2gr ni jiwe haswa. Inaweza kufika hadi km laki 5 with little maintenance. In fact ni imara zaidi kuliko hata 2azKwa CC 3500 hio 2GR-FSE wangeongeza na turbo, HP 500 zingefika...
Ina maana 2GR hapo itakuwa imara zaidi kuliko hio ya subaru turbo...?
Dah, basi ni mashine...Yes 2gr ni jiwe haswa. Inaweza kufika hadi km laki 5 with little maintenance. In fact ni imara zaidi kuliko hata 2az
Mazda CX5 turbo na subaru forester yenye turbo, subaru inaachwa mbali... kwenye speed, naadhani hata comfortability subaru haifiki..Kuna page nilikuta wanashindanisha HARRIER,FORESTER na MAZDA CX5 zote za 2015 halafu kwenye poll Mazda ndiyo inaongoza.
Nikaa-unfollow hiyo page!
Na ndio maana Toyota wameipachika kwenye matoleo mengi pamoja na LexusDah, basi ni mashine...