Submarine network kutoka Lebanon to Cyprus ndio chanzo ya kuwauwa Macommander Wa Hezbullah

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.

Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo.
---

1720648944925.png
Cyta announced the signing of an agreement with the Lebanese Ministry of Telecommunications for the construction and maintenance of CADMOS-2, a new subsea telecommunications connection between Cyprus and Lebanon. The agreement was signed on Monday, 12th December 2022 in Beirut.

There is an existing subsea cable connecting Pentaskhinos, Cyprus with Beirut and Jdaide, Lebanon, the CADMOS cable system, which is a repeaterless subsea cable system of 230 km in length. The CADMOS cable system was completed in 1995.

CADMOS-2 will complement and in the future replace a cable system interconnecting the two countries since 1995, and is expected to be operational in 2024, to meet the needs of international connectivity.

The agreement enhances Cyta’ s position as a telecommunications hub and its role as a services centre in the wider area of the Eastern Mediterranean. At the same time, it supports the business activities between Cyprus and Lebanon and strengthens the wider cooperation between the two countries, at a critical period characterized by uncertainty.

Submarine Network
 
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.

Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo...
Kama ndo hivyo huoni bado ni mbinu ya Islael
 
Hi
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.

Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo .

Hiyo nayo ni mbinu ya kivita abaki hawezi kuwa na akili hizo

USSR
 
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.

Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo.
---

Cyta announced the signing of an agreement with the Lebanese Ministry of Telecommunications for the construction and maintenance of CADMOS-2, a new subsea telecommunications connection between Cyprus and Lebanon. The agreement was signed on Monday, 12th December 2022 in Beirut.

There is an existing subsea cable connecting Pentaskhinos, Cyprus with Beirut and Jdaide, Lebanon, the CADMOS cable system, which is a repeaterless subsea cable system of 230 km in length. The CADMOS cable system was completed in 1995.

CADMOS-2 will complement and in the future replace a cable system interconnecting the two countries since 1995, and is expected to be operational in 2024, to meet the needs of international connectivity.

The agreement enhances Cyta’ s position as a telecommunications hub and its role as a services centre in the wider area of the Eastern Mediterranean. At the same time, it supports the business activities between Cyprus and Lebanon and strengthens the wider cooperation between the two countries, at a critical period characterized by uncertainty.

Submarine Network
Umekunywa ngapi leo?
 
Kwa hio sio technology ni kama vile kimburu anaiba kitoweo tu 😄

Tukiwambia Israel hana lolote ni sawa sawa tu na majeshi ya SADC, ndio wengi wanajiuliza asimuone Yahya Sinwar pale Rafah 25 Km vipi akaone Lebanon
 
Nashukuru umekubali Makamanda wa hezbullah wameuawa na Israel!👋👋👋👍
 
Kwani hao makamanda wa hiszbollah na wao huwa wanaishi mashimoni kama panya kama Yahya Sinwar?
 
Nashukuru umekubali Makamanda wa hezbullah wameuawa na Israel!👋👋👋👍
Lini nilikataa wakiuliwa na kataa numbers mnazo kuja nazo eti Ma commander 400+ wakati ni 6 tu, labda mnahesabu wale mbuzi na makondoo mlio wauwa na wanamgambo hawafiki hata 30
 
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.

Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo.
kabla ya kuendelea mbele, hapa bado sijakuelewa. Au sijui kusoma
 
Bado israel wametumia akili, kwa maaba hapo walikua wana access ya internet yote ya Lebanon.

Vita hua inapiganwa nje ya battlefield, kurusha risasi na mabomu na makombora ni hatua ya mwisho.

Am not fun of Israel, but nawakubali baadh ya janja zao.

Hisbullah waache kupigana kibubusa.
 
Sawa lakini kwa sasa ataukalia atapata wapi information za Hezbullah, wakati Hezbullah we unaye sema wanapigana kibubusa, wana piga kwenye target zao kabisa.

Mpaa Israel wanajiuliza vipi Hezbullah kagundua mpaa camp zetu za jeshi ambazo zina store silaha na vifaru mpaa wanachanginyikiwa afu we unasema wanapigana kibubusa mimi naona ni Israel ndio anapigana kibubusa 😄

View: https://youtu.be/OEK8SKZfCew?si=YQCGRTRM9q_7d20C
 
Habari ndio hio, watu wanawasifia Israel oh anauwezo wa kugundua kila kitu, hamna lolote.

Sababu ya Israel kuwauwa makamanda wa Hezbullah ni Cyprus, alijidai yeye ndio atagharamia kila kitu na ku control kumbe ni Israel ndio katoa pesa ili apate access ya kuwanasa Hezbullah ukweli ndio huo.
---

Cyta announced the signing of an agreement with the Lebanese Ministry of Telecommunications for the construction and maintenance of CADMOS-2, a new subsea telecommunications connection between Cyprus and Lebanon. The agreement was signed on Monday, 12th December 2022 in Beirut.

There is an existing subsea cable connecting Pentaskhinos, Cyprus with Beirut and Jdaide, Lebanon, the CADMOS cable system, which is a repeaterless subsea cable system of 230 km in length. The CADMOS cable system was completed in 1995.

CADMOS-2 will complement and in the future replace a cable system interconnecting the two countries since 1995, and is expected to be operational in 2024, to meet the needs of international connectivity.

The agreement enhances Cyta’ s position as a telecommunications hub and its role as a services centre in the wider area of the Eastern Mediterranean. At the same time, it supports the business activities between Cyprus and Lebanon and strengthens the wider cooperation between the two countries, at a critical period characterized by uncertainty.

Submarine Network
Sasa hapo unapinga nini kuhusu Israel?
 
Sasa hapo unapinga nini kuhusu Israel?
Nacho pinga hana technology ya kugundua Hezbullah wanaenda wapi au wako wapi, mpaa akavizie kule Cyprus apate infomation, hio imeisha gundulika sa toka nimetuma hi thread Israel kauwa Commander wa Hezbullah
 
Israhell wakawaida sanaaaa
Tokea wametumia mwaka mzima kasoro miezi miwili kokomboa magaidi zao wanne
Usrahell wakawaida sana tena bora hao M23 wanajiweza
 
Back
Top Bottom