Mwangajamii Tanzania
Member
- Oct 24, 2018
- 34
- 48
- Thread starter
- #21
Kwaiyo ukifunga hii hamna haja yakuwa nasubmeter zile ndogo na pia hii dukani shing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo ukifunga hii hamna haja yakuwa nasubmeter zile ndogo na pia hii dukani shing
Wewe si ueleze kikamilifu ili watu tujue? Umeulizwa maswali ya muhimu hukujibu. Mfano unaifunga baada ya mita ya Tanesco, je, umeme unaununua kwa kutumia mita namba ipi?Zile Hazitumiki Tena Hii ndio Submeter ya Kisasa. Ukifunga Hii inatosha. Bei yake 150,000. Kwa mojá.
Ukinunua Kuanzia mbili Unapunguziwa Bei.
Haina haja ya kuumiza kichwa hapa.. Hii Comment ipo open kabisa, ✍️✍️✍️Hii comment yako imetokana na nini?
Pinga pinga Fc watakuja wapinge na hili.Herd thinking ni tatizo kubwa sana Tanzania.Kwa lugha nyepesi kufikiri kama nyumbu kwa kufuata mkumbo bila kutumia akili.
Jamaa Kila comment gari, kua makini inaonekana upo obsessed sanaHakika mkuu baada ya hapa kituo kinachofata ni kununua gari tu
Gari ni nomaJamaa Kila comment gari, kua makini inaonekana upo obsessed sana
Wewe si ueleze kikamilifu ili watu tujue? Umeulizwa maswali ya muhimu hukujibu. Mfano unaifunga baada ya mita ya Tanesc
Kua makini usije liponza kalioGari ni noma
HAPA NDIPO CHANGAKOTOBaáda ya Meter ya Jumla.
Na bei kaamahiiiZile Hazitumiki Tena Hii ndio Submeter ya Kisasa. Ukifunga Hii inatosha. Bei yake 150,000. Kwa mojá.
Ukinunua Kuanzia mbili Unapunguziwa Bei.
Unataka kuuziwa bei gani?Na bei kaamahiii
HUJANIELEWA BEI IKO POA NIMESEMA NANILE NILITAKA KUNUNUA BEI N KAMA HII 150 000 TUKASHINDWANA TU UMEME UMEISHA KWENYE MAIN..KIDUDE CHA MTU KINASOMA UNIT..UTAWAKA AKAWAMUWAZI NO...NIKAWAPA YA USIMBUFUUnataka kuuziwa bei gani?
Mfano ndio umeisha kote na wewe unit zako bado ndio swali linakuja utaendelea kuwaka????Umeme Utanunua kwa kutumia mita ya Tanesco kisha unaingiza kwenye mita ya Tanesco kwanzá. Halafu ndio unagawa umeme Huo kwa kila Submeter kwa kutumia App maalumu utakayopewa. Kama nyuma yako ina Vyumba kumi na kila chumba umefunga Submeter, halafu mkanunua umeme Wa Laki moja. Kila mmoja atagaiwa umeme Wa Shilingi 10000. Yáani Unit 28 kila mmoja. Na kila mmoja umeme wake ukiisha kwenye Submeter yake utazima kwake tu wengine wataendelea kutumia. Bei ya kila Submeter ni sh-150,000. Pamoja na kufungiwa Kabisa. Hapo Utanunua Wa tu kwa Ajili ya muonganiko. Kuanzia Tatu Bei Unapunguziwa. ASANTE
Kwanzá Pölé Sana. Iko Hivi ukitaka kutumia hizi Submeter inatakiwa kila Chumba au Fremu uwe umefunga Submeter. Mita ya Tanesco inatakiwa Isitumike na mtu Yeyote kama hana Submeter. Kwa sababu Akitumia Bila Submeter Atamaliza Umeme wake Ataanza kutumia na wawenzake. Hivyo kila mmoja anapaswa awé na Submeter...HAPA NDIPO CHANGAKOTO
MKUU
WALIKUJA JAMAA WAKAJJTANGAZA HAPA NIKAWALETA KWANGU INGAWA NILIWAPA 20000 YA USUMBUFU....WALIELEZA VIZURI SANA MHUSIKA ANATUMIA KAMA YEYE NKASEMA VIPI KWENYE MAIN HAMNA MZIGO AKAJIBU KULE LAZIMA WANAOTUMIA WAWE WAMEWEKA MZIGO...ELSE IKISOMA 0 KWAKO INA UNITS KADHAA AMNA KITU
KAMA N TOFAUTI NA HII. NAELEZA NIPE MAELEZO MKUU
Ndio kwa kwako utaendelea kuwaka.Mfano ndio umeisha kote na wewe unit zako bado ndio swali linakuja utaendelea kuwaka????
KAMA UNA UHAKIKA NAHILI NJOOMINBOX NAKAABLA YAMALIPO NAHAKIKISHÀ KUNA 0 MAIN MTR HUKUKWINGINE TUNAJAZIA SUMTR ŹIKIWAKA MKUU TUNAITANA TENAKwanzá Pölé Sana. Iko Hivi ukitaka kutumia hizi Submeter inatakiwa kila Chumba au Fremu uwe umefunga Submeter. Mita ya Tanesco inatakiwa Isitumike na mtu Yeyote kama hana Submeter. Kwa sababu Akitumia Bila Submeter Atamaliza Umeme wake Ataanza kutumia na wawenzake. Hivyo kila mmoja anapaswa awé na Submeter...
KumbeKwanzá Pölé Sana. Iko Hivi ukitaka kutumia hizi Submeter inatakiwa kila Chumba au Fremu uwe umefunga Submeter. Mita ya Tanesco inatakiwa Isitumike na mtu Yeyote kama hana Submeter. Kwa sababu Akitumia Bila Submeter Atamaliza Umeme wake Ataanza kutumia na wawenzake. Hivyo kila mmoja anapaswa awé na Submeter...
Ndio kwa kwako utaendelea kuwaka.Mfano ndio umeisha kote na wewe unit zako bado ndio swali linakuja utaendelea kuwaka????
Ndugu Yangu Soma Post zangu zilizopita.... Kwanzá hakikisha kila chumba chenye matumizi ya Umeme unafunga Submeter. Kwanza unaanza kuweka Umeme kwenye Main Meter/Luku. Kisha ndio unagawa Unit kwenye kila chumbá ulichofunga Submeter kwa kutumia App maalumu utakayopewa.KAMA UNA UHAKIKA NAHILI NJOOMINBOX NAKAABLA YAMALIPO NAHAKIKISHÀ KUNA 0 MAIN MTR HUKUKWINGINE TUNAJAZIA SUMTR ŹIKIWAKA MKUU TUNAITANA TENA
USUMBUFU HAITAKUWEPONIKIGOMA KUWAKA