Wanapoozea maumivu si Unajua binadamu huwa hapendi kuzidiwa nyanja yoyote huwa anapenda yeye awe yeye tu. Ndo mana ana maumivu ya kutopata elimu ivyo anajifariji akiwa amepata Hela kuwa kusoma kitu gani,nyumbani anajengewa na msomi,Gari akatengenezewa na msomi,akiumwa anatibiwa na msomi,daraja likivunjika bila ya msomi havuki,mke wake akishindwa kuzaa kawaida anachanwa kisu na msomi,wasomi wanatetea ndege zetu huko kanada hawajachukuliwa wenye Hela,akitaka kufungua kiwanda hata cha maji lazima awe na msomi, akitaka kufuga ufugaji wenye tija lazima awe na msomi, akitaka kulia kilimo kikubwa lazima msomi, akiwa na Gari nyingi utitiri dar yote lazima awe na msomi,mwanae akiumwa lazima umpigie magoti msomi na Hela zako,hata simu unayotumia hapa ni wasomi Wamekutengenezea, mpaka unatumia internet ni wasomi, umevaa nguo ni wasomi wameitengeneza, Vita Ikitokea tukikimbia nchi yeye ataacha mahela yake benki zikiungua na Bomu zito, magari,manyumba yako utaacha ila msomi akifika hapo Kenya akiwa mkimbizi anajitambulisha kuwa yeye ni daktari,mwaljmu,mhasibu ama engineer anaendelea kupiga kazi na kuishi life nzuri.wewe utabaki kuyakumbuka Mali zako na hauna mtajk mwingine.hapa nipo picnic shivaz kaloleni nasikiliza mziki mzito mpaka moyo unadunda ni wasomi, wameutengeneza,na nimetoka kuoga maji ya moto yamechemshwa ni msomi akaunganisha. Hapo ulipo kwako umeme unawaka ni msomi akautengeneza ama akauwezesha kuwaka kwako.
Bakheresa na utajiri wake akiugua ugonjwa serious afu aambiwe anatakiwa atoe utajiri wake wote afu apone anautoa manina. Siku zote utapiga magoti kwenye elimu aka ujuzi .know how and know why iogope sana ndo INA run dunia manina.
Binafsi nimesoma ingawa sio utajiri ila sija regret kusoma. MTU asiyesoma hata kumuangalia MTT wake tu akajua kuwa ana kosa chakula Fulani ni kazi sana.
Jamani acheni kubishana na elimu,ukipata mgogoro na MTU kuhusu kitu chako anataka kukudhulumu lazima utafute msomi manina. Anakula Hela yako uliyoitafuta kwa muda mrefu yeye unampa kwa muda mchache sana.
Wakati acacia wanafanya replace watu kuna MZEE alilipwa 8 bilioni Hela za kitanzania.ila aliweka mwanasheria kumsaidia,mwanasheria alipata 1.5 bilioni.MZEE mwenye eneo alibaki na 6.5 bilioni.
Afu wale wasenge middle man btn mzungu na mwenye Mali ni wabongo. Walimwambia kuwa MZEE umekubali 8bn ila kwenye akaunti yako zitasoma 12bn ,wewe chukua zako afu zingine ziache MZEE.
Huyo MZEE ndiye mwenye mabasi yaliyoandikwa kisire zinapiga Sirari boda to kahama na katoro ,
Hebu angalia manina msomi hizo 4bn akazipata kwa Mza gani.
Yani sijawahi bishana na kitabu.mpaka muda huu nimehitimu bachelor isiyohitaji masters manina ila bado huwa najisomea nalisha kichwa jiwe imara.
Achanaanenj kujifariji jamani.
Kuwa nikipata zero ila saivi yule aliyekuwa ananizidi nimemuajiri kwani ww ulienda shule kuitafuta iyo zero ama ulishindwa na ukaumia wengine wakipata one zao Kali zenye A's kumi manina afu Leo hii ukipata cha kujifarjia ama ulimpozidia ndo unaona ngoja upooze maumivu yako kwa kujigamba.
Serikali karibia zote duniani zinatumia Hela nyingi sana kuwasomesha watu wake.
Kwa taarifa yako binafsi mpaka hapa nilipo nimetumia kama 40M kwa kusoma bachelor Yangu moja ni Hela ya wananchi.
Kazi Yangu Ilikuwa ni kufaulu nalipiwa tiketi na fly yani ww faulu tu utaona maisha yalivyo matamu. Nalipiwa nauli na kupewa Hela ya kula na huku Nilikuwa nakula mademu Wa kirusi nacheza nayo club na kufurahia maisha. Na huku home hata hakuna hata kuku, imagine nguvu ya kusoma manina.
Yani ile kufaulu inakaa hewani zaidi ya kumi afu unaenda kula watoto wa kirusi kisa elimu.
Jamani achananeni na kusoma. I wish nikapige masters hat PhD sema umri pia GPA Yangu ni gentleman. Yani unalisha ama unasoma kwa faida yako.afu unalipiwa na serikali, huku mshahara unaingia.
Kama wale madogo waliochukuliwa madereva wa train ya sgr wapi uturuki wanakula training ya kuendesha train na huku mshahara unasoma, na huko wanapewa Hela ya kujikimu na kuzungukia nchi za ulaya. Na kujaribu ama kutest ladha ya k za watt wanaojua mapenzi na wameng'aa .jamani acheni maisha ya msomi ni full baya ila ukiwa vzuri upstairs
Hata mabilionea Kama Bill Gates hawakushindwa shule waliacha wenyewe kwa hiyari.
Hawa ndugu zetu ambao hawajabahatika kuwa na degree wanafurahi sana (sio wote) wakiona wasomi wakiwa na maisha magumu na huwaambia kuwa walipoteza muda kusoma.