Success at school vs success in life

Success at school vs success in life

I’m talking about money in the bank .sio nyumba za mikopo na Magari ya mikopo .Ukistaafu pension ya waziri tanzania Laki 7 katibu mkuu laki 6 mkurugenzi wa wizara laki 2 .Na ukistaafu malipo waziri dollar 90,000katibu mkuu dollar 80,000.ITS a waste of time
Huu ni uongo,
 
Mabroo wote ambao walikuwa very smart shule full kushika unamba hakuna mwenye maisha mabovu hata mmoja wote wana mitonyo ya kuchelema, bro mmoja alikuwa best student DIT sasa HV anafanya kazi Azania bank, duuh hilo jumba alilolijenga huko mbezi kufuru, mindinga anayopush noma, kila siku anaenda Dubai first class, wana niliowaacha kitaani hali mbaya tu,
Hivi kumbe Azania bank wanalipa vizuri!
 
Huu ni uongo,
Mtu anatetea kutosoma elimu ya juu sasa atatoaje data sahihi. Kwa wale ambao tunakosa baadhi ya vitu, hata kama kitu huna kwanini usijikubali na ukatafuta njia mbadala ya kukusogeza kimaisha. Kuendelea kujilazimisha kukichukia au kutafuta negativity tu haiwezi kumfikisha mtu popote. Tuwe kama wengi wa mabondia wanaojielewa, akishindwa pambano anakubali na kujipanga

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Hata mabilionea Kama Bill Gates hawakushindwa shule waliacha wenyewe kwa hiyari.
Hawa ndugu zetu ambao hawajabahatika kuwa na degree wanafurahi sana (sio wote) wakiona wasomi wakiwa na maisha magumu na huwaambia kuwa walipoteza muda kusoma.
 
Jieulize kwanini bakhersa humkuti kwenye list za matajiri afrika

Na jiulize kwanini bakheresa huyo huyo kamauamchia mtoto wake aendeshe biashara
Mtoto wake kasoma Stanford university

Kama huna elimu utaishia kutafuta pesa ya kula tu na hutafanya maendeleo ya maana na kama biashara zako zitaishia ndani ya nchi yako na hazitafika nchi za nje

Elimu inafungua mtu kama ukiichukulia kwa Nia ya kukufungua ili uweze kutawala MAISHA yako au mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua Kiyosaki alieandika hicho kitabu alifilisika ? Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Mafanikio yanaangukia kwenye pesa zaidi especially kwa akili ya kibongo.

Angalia ma-prof wa UDSM hapo wanavyokua wapole kwa watawala ili mradi wam-please mkuu wapate uteuzi huko kwenye bodi/ukuu wa taasisi mbalimbali yote hio ni kutaka kua na mkwanja wa kueleweka,kama ingekua kupata PH.d tu ni heshima tosha wasingehangaika na mambo mengine.

Nimekaa na ma Dr(MD).,engineers,accountants etc Wote hawa wana admire watu wenye mikwanja mirefu na wao wanahangaika kutafuta pesa kwa hali na mali.

So Pesa ndio kitu cha msingi hizi story za usomi bila hela ni ujinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo na ujinga husipende kutetea mtizamo wako Acha kuangalia mamilionea wachache wenye elimu ya juu,Kuna matajili wengi humu nchini wenye elimu Mali wameikuta kutoka kwa BB zao,angalia watu wenye kujimuda kimaisha wakati ni wengi wenye helimu ndogo standard 7 na 0 level,njoo Kkoo wenye maduka makubwa krb wote ni standard 7 na 0 lv,njoo ubungo Yale Manus yote unayoyaona ubungo yanamilikiwa na watu wa Kati kielimu huwezi ukamkuta mwenye masters anapanda ndege anaenda Thailand na China kufuata biashara zake na ukimkuta mwenye masters kwenye Emelets air ujue katumwa na ofic sio yeye km yeye aumize bichwa ,mara nyingi wasomi hawezi kutake risk ndipo hapo wanapofeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ukweli sana kwny bandiko lako,ila sisi wazee wa Salary Advance tutakuja kubisha kwa sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jieulize kwanini bakhersa humkuti kwenye list za matajiri afrika

Na jiulize kwanini bakheresa huyo huyo kamauamchia mtoto wake aendeshe biashara
Mtoto wake kasoma Stanford university

Kama huna elimu utaishia kutafuta pesa ya kula tu na hutafanya maendeleo ya maana na kama biashara zako zitaishia ndani ya nchi yako na hazitafika nchi za nje

Elimu inafungua mtu kama ukiichukulia kwa Nia ya kukufungua ili uweze kutawala MAISHA yako au mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
'Jieulize kwanini bakhersa humkuti kwenye list za matajiri afrika'

Hapo sijakuelewa unamaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo na ujinga husipende kutetea mtizamo wako Acha kuangalia mamilionea wachache wenye elimu ya juu,Kuna matajili wengi humu nchini wenye elimu Mali wameikuta kutoka kwa BB zao,angalia watu wenye kujimuda kimaisha wakati ni wengi wenye helimu ndogo standard 7 na 0 level,njoo Kkoo wenye maduka makubwa krb wote ni standard 7 na 0 lv,njoo ubungo Yale Manus yote unayoyaona ubungo yanamilikiwa na watu wa Kati kielimu huwezi ukamkuta mwenye masters anapanda ndege anaenda Thailand na China kufuata biashara zake na ukimkuta mwenye masters kwenye Emelets air ujue katumwa na ofic sio yeye km yeye aumize bichwa ,mara nyingi wasomi hawezi kutake risk ndipo hapo wanapofeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada sio waliojiajiri na walioajiriwa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapoozea maumivu si Unajua binadamu huwa hapendi kuzidiwa nyanja yoyote huwa anapenda yeye awe yeye tu. Ndo mana ana maumivu ya kutopata elimu ivyo anajifariji akiwa amepata Hela kuwa kusoma kitu gani,nyumbani anajengewa na msomi,Gari akatengenezewa na msomi,akiumwa anatibiwa na msomi,daraja likivunjika bila ya msomi havuki,mke wake akishindwa kuzaa kawaida anachanwa kisu na msomi,wasomi wanatetea ndege zetu huko kanada hawajachukuliwa wenye Hela,akitaka kufungua kiwanda hata cha maji lazima awe na msomi, akitaka kufuga ufugaji wenye tija lazima awe na msomi, akitaka kulia kilimo kikubwa lazima msomi, akiwa na Gari nyingi utitiri dar yote lazima awe na msomi,mwanae akiumwa lazima umpigie magoti msomi na Hela zako,hata simu unayotumia hapa ni wasomi Wamekutengenezea, mpaka unatumia internet ni wasomi, umevaa nguo ni wasomi wameitengeneza, Vita Ikitokea tukikimbia nchi yeye ataacha mahela yake benki zikiungua na Bomu zito, magari,manyumba yako utaacha ila msomi akifika hapo Kenya akiwa mkimbizi anajitambulisha kuwa yeye ni daktari,mwaljmu,mhasibu ama engineer anaendelea kupiga kazi na kuishi life nzuri.wewe utabaki kuyakumbuka Mali zako na hauna mtajk mwingine.hapa nipo picnic shivaz kaloleni nasikiliza mziki mzito mpaka moyo unadunda ni wasomi, wameutengeneza,na nimetoka kuoga maji ya moto yamechemshwa ni msomi akaunganisha. Hapo ulipo kwako umeme unawaka ni msomi akautengeneza ama akauwezesha kuwaka kwako.
Bakheresa na utajiri wake akiugua ugonjwa serious afu aambiwe anatakiwa atoe utajiri wake wote afu apone anautoa manina. Siku zote utapiga magoti kwenye elimu aka ujuzi .know how and know why iogope sana ndo INA run dunia manina.
Binafsi nimesoma ingawa sio utajiri ila sija regret kusoma. MTU asiyesoma hata kumuangalia MTT wake tu akajua kuwa ana kosa chakula Fulani ni kazi sana.

Jamani acheni kubishana na elimu,ukipata mgogoro na MTU kuhusu kitu chako anataka kukudhulumu lazima utafute msomi manina. Anakula Hela yako uliyoitafuta kwa muda mrefu yeye unampa kwa muda mchache sana.

Wakati acacia wanafanya replace watu kuna MZEE alilipwa 8 bilioni Hela za kitanzania.ila aliweka mwanasheria kumsaidia,mwanasheria alipata 1.5 bilioni.MZEE mwenye eneo alibaki na 6.5 bilioni.
Afu wale wasenge middle man btn mzungu na mwenye Mali ni wabongo. Walimwambia kuwa MZEE umekubali 8bn ila kwenye akaunti yako zitasoma 12bn ,wewe chukua zako afu zingine ziache MZEE.
Huyo MZEE ndiye mwenye mabasi yaliyoandikwa kisire zinapiga Sirari boda to kahama na katoro ,
Hebu angalia manina msomi hizo 4bn akazipata kwa Mza gani.
Yani sijawahi bishana na kitabu.mpaka muda huu nimehitimu bachelor isiyohitaji masters manina ila bado huwa najisomea nalisha kichwa jiwe imara.

Achanaanenj kujifariji jamani.
Kuwa nikipata zero ila saivi yule aliyekuwa ananizidi nimemuajiri kwani ww ulienda shule kuitafuta iyo zero ama ulishindwa na ukaumia wengine wakipata one zao Kali zenye A's kumi manina afu Leo hii ukipata cha kujifarjia ama ulimpozidia ndo unaona ngoja upooze maumivu yako kwa kujigamba.
Serikali karibia zote duniani zinatumia Hela nyingi sana kuwasomesha watu wake.
Kwa taarifa yako binafsi mpaka hapa nilipo nimetumia kama 40M kwa kusoma bachelor Yangu moja ni Hela ya wananchi.
Kazi Yangu Ilikuwa ni kufaulu nalipiwa tiketi na fly yani ww faulu tu utaona maisha yalivyo matamu. Nalipiwa nauli na kupewa Hela ya kula na huku Nilikuwa nakula mademu Wa kirusi nacheza nayo club na kufurahia maisha. Na huku home hata hakuna hata kuku, imagine nguvu ya kusoma manina.

Yani ile kufaulu inakaa hewani zaidi ya kumi afu unaenda kula watoto wa kirusi kisa elimu.
Jamani achananeni na kusoma. I wish nikapige masters hat PhD sema umri pia GPA Yangu ni gentleman. Yani unalisha ama unasoma kwa faida yako.afu unalipiwa na serikali, huku mshahara unaingia.

Kama wale madogo waliochukuliwa madereva wa train ya sgr wapi uturuki wanakula training ya kuendesha train na huku mshahara unasoma, na huko wanapewa Hela ya kujikimu na kuzungukia nchi za ulaya. Na kujaribu ama kutest ladha ya k za watt wanaojua mapenzi na wameng'aa .jamani acheni maisha ya msomi ni full baya ila ukiwa vzuri upstairs

Back
Top Bottom