Such a wonderful lady, My @bbade

Na wakati mwingine unakuja kugundua simu ilipigwa masaa 6 baadaye lol

Shukriya, ntamsalimu bi mkubwa
Nipo aunt wajua tena majukumu saa nyingine yanasababisha simu iishie kukaa ndani ya pochi kutwa pasi kuguswa labda iite. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimefurahi kukuona aunt ukimuona Da espy msalimie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…