Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana wewe jibu kwanzawakati nakutafutia jibu naomba tuamie lile darasa lingine
kwema hunkwema darling??
ndio mana nakupendaHapana wewe jibu kwanza
usinilishe maneno babemtaani wako si mzaramu na msambaa unaniambiaga hivi ama sivyo??
Maombi yako yamefikishwa.Usisahau kunitag ... Ila mwambie uwe wa kiswahili.
Hapo nimekuelewa....script inabidi iwe level ya Oscar nominee!Pamoja na kunipa baraka, lazima nitunge mistari itakayowarusha roho akina Behaviourist Hivyo nahitaji kujipanga[emoji23]
ahh hapana dadaHahaha tania hata ndugu zake mamii
Nipo aunt wajua tena majukumu saa nyingine yanasababisha simu iishie kukaa ndani ya pochi kutwa pasi kuguswa labda iite. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi kukuona aunt ukimuona Da espy msalimie.
Usiogope. Shemeji ni shemeji tuu.ahh hapana dada
Acha tu aunt yake. Haya nimefurahi kukuona aunt.Na wakati mwingine unakuja kugundua simu ilipigwa masaa 6 baadaye lol
Shukriya, ntamsalimu bi mkubwa
halaf nina wif mmoja tu hata mazoea hatunaUsiogope. Shemeji ni shemeji tuu.
Wewe watanie au basi hata mawifi [emoji23]
Ndiyo vizuri kabisa. Safi sana.halaf nina wif mmoja tu hata mazoea hatuna
Thank you.All the best guys!!
Thank you!Wishing you nothing but happiness, love, and joy.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh kumbe RRONDO naye ni pasua kichwa mwenzangu?
HahahhaaaHuyu jamaa nafikiri kuna mahali anahisi namzibia maanake anapenda sana kunichafulia jina.