Sudan hawana ndugu? Waliwakosea nini watu si waislam au WA Africa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe kwenu wakuu

Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa

Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia

Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu?

Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila mtu analalamika kama nini yaan, Dunia nzima inalalamika yaan

Mbona parestina ikiguswa kidogo kila watu wanalalimka si padre au ostaz

Mbona Israel ikiguswa kidogo tu Dunia nzima inalalamika

Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?

God bless Israel

SAYUNI BOY
 
Sudan na kama ilivyo Somalia ni mgogoro/vita au machafuko ya wenyewe kwa wenyewe.
Ni tofauti na nchi kuvamiwa na watu kutoka nje..

Ni Sawa ukimchapa mwanao bakora mbele za watu na ukimchapa mtoto wa jirani, reactions zitakuwa tofauti!
 
Sudan walisaidiwa Sana na Marekani na umoja wa falme za kiarabu wakati mzozo unaanza kati ya jeshi la Sudan na RSF... lakini viongozi hao walikataa kukubaliana
 
Amani iwe kwenu wakuu

Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa

Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia

Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu?

Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila mtu analalamika kama nini yaan, Dunia nzima inalalamika yaan

Mbona parestina ikiguswa kidogo kila watu wanalalimka si padre au ostaz

Mbona Israel ikiguswa kidogo tu Dunia nzima inalalamika

Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?

God bless Israel

SAYUNI BOY
Unapenda kuandika andika lakini hujui kuandika. Ni Palestina
 
Amani iwe kwenu wakuu

Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa

Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia

Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu?

Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila mtu analalamika kama nini yaan, Dunia nzima inalalamika yaan

Mbona parestina ikiguswa kidogo kila watu wanalalimka si padre au ostaz

Mbona Israel ikiguswa kidogo tu Dunia nzima inalalamika

Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?

God bless Israel

SAYUNI BOY

View: https://x.com/Neccccy/status/1892972525732200542
 
Vita ya Sudan hasa imetokana na ugomvi binafsi wa Watu wawili tu kwa Udikteta wao wa kutaka madaraka.

Watu wa nje ya Sudan hawawaungi mkono kwa sababu Watu wote hawa ambao ni Majenerali wa Jeshi walikuwa wapo upande wa Mdhalimu. Majenerali Wote wawili wanaopigana kwenye Vita hiyo walikuwa Wafuasi wa Rais wa Nchi hiyo ya Sudan Dikteta Hassan Helbashiri, Mtu huyo aliua Watu wengi Sana enzi za Utawala wake huko Sudan wakati ule nchi ya Sudan ya Kusini ilipokuwa inapigania Uhuru wake ili iweze kujitenga.
Wanajeshi Wapiganaji kutoka pande zote Mbili zinazopigana Vita hiyo hawafai kuungwa mkono kwa sababu ni Wahalifu wabaya Sana ambao wameua Watu wengi Sana nchini Sudan. Hao Watu ni Wadhalimu.

Kabla ya kuibuka kwa Vita hii inayoendelea hivi Sasa huko Sudan, huko Darfur tayari kulikuwa na makaburi mengi Sana ya Watu zaidi ya milioni moja, watu ambao waliuawa na hawa hawa Wanajeshi wanaopigana Vita hivi Sasa huko Sudan. Sasa, Je, kwa nini uwaunge mkono Watu Wadhalimu na Wauaji wabaya wa namna hii???
 
Amani iwe kwenu wakuu

Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa

Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia

Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu?

Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila mtu analalamika kama nini yaan, Dunia nzima inalalamika yaan

Mbona parestina ikiguswa kidogo kila watu wanalalimka si padre au ostaz

Mbona Israel ikiguswa kidogo tu Dunia nzima inalalamika

Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?

God bless Israel

SAYUNI BOY
Ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia sana
 
Kila mtu hataki kukubali mwingine ashike nchi ,acha wapigane siku moja wataelewa madhara ya vita...Siku wakikaa meza moja wakafikiria hilo suala basi wataishi vizuri milele.

Ni vizuri wakachagua mtu wa kuongoza kulingana na tamadani zao.
 
Amani iwe kwenu wakuu

Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa

Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia

Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu?

Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila mtu analalamika kama nini yaan, Dunia nzima inalalamika yaan

Mbona parestina ikiguswa kidogo kila watu wanalalimka si padre au ostaz

Mbona Israel ikiguswa kidogo tu Dunia nzima inalalamika

Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?

God bless Israel

SAYUNI BOY
Nanukuu swali la msingi:
"Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?"
Jawabu: Sudan Waliweka "pamba masikioni" na hadi leo hawajazitoa. Mataifa wanasubiri wakitoa tu hizo pamba ; mambo yatakaa sawa.
 
Majenerali wawili wanagombea madaraka.
Ni wauaji.
Hapo kabla wasudani walifanya maandamano ya damu kumuondoa Jenerali Omar Hassan al Bashir baada ya kuchoshwa na utawala wake wa kibabe, lakini baadaye jeshi liilijiweka kati na kutwaa madaraka ya uma kinyume na matarajio ya wananchi.
Chakushangaza wasudani wasio na hatia wanauwawa lakini Umoja wa nchi za Kikanda na Umoja Afrika hawachukui hatua yoyote.
Kwa kile kinachoendelea Kongo na Sudani kwakweli sijaona faida ya kuwa na hiki kinachoitwa AU.
Maana hata huko Kongo AU haijafanya chochote cha maana kuwaokoa wakongo wanaongamia ili hali mzizi wa tatizo unajulikana.
 
Karma ni mbwa wa kike. Wakati wanawaua wenzao wa Darfur waliona raha sana, leo jini lililokuwa linaua Darfur limewageuka. Japo wanaoteseka sana bado ni wa Darfur lakini sasa kila mtu ameonja uchungu. Kunyanyasa raia wenzenu haijawahi kuwa na mwisho mzuri.
 
Wababe wa vita hao majenerali wawili wa Janjaweed acha watandikane wapate machungu na wao ya kuuwa watu wasio na hatia.
 
Nje ya mada wasudani wapuuzi sana kwanza wanajitabulisha waarabu sasa kwa walivyo hivo wewe unawaona ni waarabu
 
Amani iwe kwenu wakuu

Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa

Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu anawazungumzia

Je walikosea nini hawa watu? Hawana ndugu?

Mbona Kongo ikiguswa kidogo tu kila mtu analalamika kama nini yaan, Dunia nzima inalalamika yaan

Mbona parestina ikiguswa kidogo kila watu wanalalimka si padre au ostaz

Mbona Israel ikiguswa kidogo tu Dunia nzima inalalamika

Sudan walikosea nini watu mbona wameachwa wafe kivyao?

God bless Israel

SAYUNI BOY
Aguswe mwarabu wale watumwa nywele huwasisimka,si unajua lugha,mavazi,vyakula,ukaaji hadi kukohoa...wanafanana!
 
Back
Top Bottom