Sudan: Kondoo ahukumiwa miaka mitatu gerezani kwa kuua mtu

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45.

Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa kwenye familia hiyo pindi atakapomaliza kutumikia kifungo chake gerezani.

---

A sheep in South Sudan has been sentenced to three years in jail for killing a 45-year-old woman, a report by Eye Radio says.

According to the report, the sheep fatally attacked the woman identified as Adhieu Chaping in Rumbek East, South Sudan earlier this month, leaving her with broken ribs that resulted in death.

Following the death of the 45-year-old woman, the sheep was seized and taken into custody at a police station in Maleng Agok Payum.

The sheep owner is innocent​

Confirming the incident, Rumbek East's Major Elijah Mabor stated: "The owner is innocent but the ram is the one who perpetrated the crime so it deserves to be arrested. The case will be forwarded to a customary court where it can be handed amicably."

Despite the sheep being 'innocent' the court ruled that Duony Manyang Dhal who is the owner of the sheep that head-butted the woman hands over five cows to the deceased's family in compensation.

The court also ruled that the sheep will live with the bereaved family once its released from custody.

sheep.jpg
 
Mahakama huko nchini Sudan Kusini imemuhukumu kondoo kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mwanamke anaefahamika kwa jina Adhieu Chaping 45 ambae alifariki kwa majeraha baada ya kushambuliwa na kondoo huyo.

Pia mmiliki wa kondoo huyo Duony Manyang Dhal ameamriwa na mahakama kutoa ng'ombe watano kwa familia ya marehemu.

Kazi kwelii.
 
Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45.

Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa kwenye familia hiyo pindi atakapomaliza kutumikia kifungo chake gerezani.

---
A sheep in South Sudan has been sentenced to three years in jail for killing a 45-year-old woman, a report by Eye Radio says.

According to the report, the sheep fatally attacked the woman identified as Adhieu Chaping in Rumbek East, South Sudan earlier this month, leaving her with broken ribs that resulted in death.

Following the death of the 45-year-old woman, the sheep was seized and taken into custody at a police station in Maleng Agok Payum.

The sheep owner is innocent​

Confirming the incident, Rumbek East's Major Elijah Mabor stated: "The owner is innocent but the ram is the one who perpetrated the crime so it deserves to be arrested. The case will be forwarded to a customary court where it can be handed amicably."

Despite the sheep being 'innocent' the court ruled that Duony Manyang Dhal who is the owner of the sheep that head-butted the woman hands over five cows to the deceased's family in compensation.

The court also ruled that the sheep will live with the bereaved family once its released from custody.
1657975872964.png
 
Back
Top Bottom