Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
😀 😀kigoma ukiangalia mapambazuko na machweo yake utagundua wanastahili kukaa zone moja na burundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀 😀kigoma ukiangalia mapambazuko na machweo yake utagundua wanastahili kukaa zone moja na burundi.
Tungekuwa dunia ya kwanza Kigoma kama kigoma ingekua na saa zake na bado iko tz tuuJamanie, inaitwa time zone, maana ya neno zone ni eneo pana, hakuna mstari mwembamba kama tunavyotaka kuamini kuwa tuko 45 degrees , mfano, kigoma ukiangalia mapambazuko na machweo yake utagundua wanastahili kukaa zone moja na burundi.
Nimekupata, hata Urusi bila shaka wana masaa tofautiTungekuwa dunia ya kwanza kigoma kama kigoma ingekua na saa zake na bado iko tz tuu
Cha kuwa sawa ndio nilichojifunza.Hata mimi naona inabidi iingatie Jiografia ila China walifanya hivyo kwakuwa ilikuwa ianleta mkanyiko wakaamua basi sehemu zote zitakuwa na muda sawa na Beijing
Bila shaka nyuma lisaa 1Ina maana Rwanda Burundi ziko tofauti na Tanzania?
Umejifunza Africa mashariki jifunze Tanzania sasa[emoji16]Cha kuwa sawa ndio nilichojifunza.
Ambapo kila degree 15 lisaa linabadilika ama kuwa mbele au nyuma.
Hapo ndio nikajifunza kuwa Afrika Mashariki tupo nyuzi 45 Mashariki ya Greenwich ambayo imepitia miji ya Accra, Ghana na London, UK.
Sehemu iliyo mashariki mwa Greenwich muda wake utatangulia ukilinganisha na sehemu iliyo magharibi mwa Greenwich.
Pia pakawepo mstari wa tarehe wa kimataifa ukapewa jila la Mstarihi(wenye nyuzi 180°, hapa ndio tarehe zinaanzia kuhesabiwa)
Somo likaendelea, ikasemekana mtu akivuka mstarihi kutoka mashariki kwenda magharibi, anarudia siku(yaani ukitoka Mashariki siku ya Alhamisi, ukavuka mstarihi kuelekea upande wa magharibi, unakuwa upo siku ya Jumatano) na kinyume chake ni sawa.
Sasa sehemu zote zilizopo kwenye nyuzi fulani moja(mathalani 15°) kijiografia lakini zikawa kwenye Latitude tofauti zitakuwa na muda muda mmoja(sawa)
Mambo ya kukaa na kuamua tu mkuu...Kumbe hii time zone ni kujiamulia tu.sio kulingana na mahali nchi imekaa kwenye latitude
Je, kuna nchi inaweza kukaa kwenye mstari mmoja tu? Mathalani Tanzania 45 degrees?[emoji848]Cha kuwa sawa ndio nilichojifunza.
Ambapo kila degree 15 lisaa linabadilika ama kuwa mbele au nyuma.
Hapo ndio nikajifunza kuwa Afrika Mashariki tupo nyuzi 45 Mashariki ya Greenwich ambayo imepitia miji ya Accra, Ghana na London, UK.
Sehemu iliyo mashariki mwa Greenwich muda wake utatangulia ukilinganisha na sehemu iliyo magharibi mwa Greenwich.
Pia pakawepo mstari wa tarehe wa kimataifa ukapewa jila la Mstarihi(wenye nyuzi 180°, hapa ndio tarehe zinaanzia kuhesabiwa)
Somo likaendelea, ikasemekana mtu akivuka mstarihi kutoka mashariki kwenda magharibi, anarudia siku(yaani ukitoka Mashariki siku ya Alhamisi, ukavuka mstarihi kuelekea upande wa magharibi, unakuwa upo siku ya Jumatano) na kinyume chake ni sawa.
Sasa sehemu zote zilizopo kwenye nyuzi fulani moja(mathalani 15°) kijiografia lakini zikawa kwenye Latitude tofauti zitakuwa na muda muda mmoja(sawa)
Yes even hapo kwa Biden state moja kwenda ingine wanatofautiana mpaka masaa 3Nimekupata, ata urusi ila shaka wana masaa tofauti
Nchi yenye utajiri wa mafuta badala ya kuweka mikakati ya kujiondoa kwenye umasikini uliokithiri inaangalia mambo ya time zone ni kupoteza muda tuSudan Kusini imepanga kubadili muda kuanzia Februari 1 ambapo itakuwa saa moja nyuma ya saa za Afrika Mashariki
Wanarudi kwenye ukanda wa muda wa UTC +2 ambapo kwa sasa wapo UTC +3. Katibu wa Kazi Hillary Wani Pitia amesema kijiografia UTC +2 ndio sahihi kwa Sudan Kusini.
Nchi inaweza kuseti muda wake kutokana na sababu za kisiasa ili kufanana na majirani zake. Sudan Kusini watafanana muda na DR Congo, Rwanda, Burundi, Afrika Kusini na Misri.
Mabadiliko ya Muda yamepitishwa na Baraza la Mawaziri wiki mbili zilizopita, japo raia walikosoa hatua hiyo kwenye mitandao ya kijamii.
===
South Sudan plans to reset its clock, moving back one hour on February 1.
The change, which moves the country an hour behind its key trading partners Uganda and Kenya, is meant to align it to the time zone based on its geographical location.
“The National Ministry of Labour informs all the civil service institutions, commissions, diplomatic missions, UN agencies, international/non-governmental organisations and the public at large that South Sudan has changed its official time from UTC +3 to UTC +2, which is based on South Sudan’s real location on the globe,” the Labour undersecretary Mary Hillary Wani Pitia said in statement on Friday.
The Coordinated Universal Time (UTC) is a time standard by which the world regulates clocks and time. It is often interchanged with Greenwich Mean Time (GMT), but while there is no time difference between UTC and GMT, the latter is a time zone used in some European and African countries.
The dateline – an imaginary longitude 180o that runs from pole to pole – zig zags east and west to accommodate the needs and demands of countries along its route. Most countries use hourly offsets from GMT.
Countries can, however, set their own time for political reasons or to keep the same time zone with border countries.
The switch by South Sudan will see it move from the East African time zone (GMT +3) – observed by Uganda, Kenya, Ethiopia, Tanzania, Somalia, Eritrea, and Djibouti – to the Central African time zone (GMT +2).
Some of the countries in this time zone include Sudan, eastern Democratic Republic of Congo, Rwanda, Burundi, South Africa and Egypt.
“The current time will be set back by one hour, meaning 1:00 am will be reset to 00:00 am effective from 1st February 2021,” said Ms Pitia.
The change was approved by South Sudan’s Cabinet two weeks ago but came under heavy criticism by citizens on social media.
The government spokesperson, Michael Makuei Lueth, said the country has not been using its real time.
Kupunguza siku na miezi? Inamaana kama mungu anakuhesabia miaka 35 unakua umepunguziwa mieziMkuu unaonaje tufikishe huu mswaada kwenye bunge waujadili tu modify kalenda tuwe tunamaliza mwaka mapema kwa kupunguza siku na miezi..?
mwezi uwe na siku 15 ili tupate salary twice per month...Mkuu unaonaje tufikishe huu mswaada kwenye bunge waujadili tu modify kalenda tuwe tunamaliza mwaka mapema kwa kupunguza siku na miezi..?
Inategemeana na ukubwa wa nchi kijiografia.Je, kuna nchi inaweza kukaa kwenye mstari mmoja tu? Mathalani Tanzania 45 degrees?[emoji848]
Ina maana ndio wanarudisha kwenye real time kulingana na globe position yake.The change, which moves the country an hour behind its key trading partners Uganda and Kenya, is meant to align it to the time zone based on its geographical location.
umeielewa iyo statement?
Kweli mfano Honolulu & Alaska muda wake unatofautiana sana na states zilizo Mashariki mwa US mfn. New YorkYes even hapo kwa Biden state moja kwenda ingine wanatofautiana mpaka masaa 3