Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana
Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu
Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi ambaye nishaokoka zaman walizoea kuoneshwa pisi za Kiarabu, kihindi, kinywaranda na kizungu lakin leo hii ni madem wa Sudan kusini tu
Hata ukienda kwenye netball ni wao tu
Je ni MUNGU kawabariki?
Basi abalikiwe MWENYEZI MUNGU aliyewainua watu hao
AMINA
SAYUNI BOY