Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana

Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu

Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi ambaye nishaokoka zaman walizoea kuoneshwa pisi za Kiarabu, kihindi, kinywaranda na kizungu lakin leo hii ni madem wa Sudan kusini tu

Hata ukienda kwenye netball ni wao tu

Je ni MUNGU kawabariki?
Basi abalikiwe MWENYEZI MUNGU aliyewainua watu hao

AMINA

SAYUNI BOY
Na Hawa ndio wakupewa msaada sio wagaza
 
Cutes
 

Attachments

  • 20240601_183213.jpg
    20240601_183213.jpg
    106.4 KB · Views: 28
  • 20240602_081034.jpg
    20240602_081034.jpg
    85.9 KB · Views: 31
  • 20230824_141409.jpg
    20230824_141409.jpg
    44.5 KB · Views: 25
Mcheki hapo Chini mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS akimuaga binti Yake kipenzi Sakinah kwa mara ya mwisho kabla ya umauti wake. Zuljanah mnyama aliyebarikiwa kuliko wanyama wote akiangalia chini kwa huzuni.
View attachment 3437630
unaamini hiyo ni picha halisi ya kile unachokiamini ? Kwa taarifa yako hizo picha zimebuniwa tu alafu wewe unasujudu. Dini hasa ya kiislamu ni haina ukweli wowote hata wa neno moja.
 
Mkomb
Angel Nylon je na wewe umeshakula kiapo cha utii kwa Kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S?

Kama bado unasubiri nini?

The road to Karbala, join the movement NOW!

View attachment 3437649

adriz
mkombozi wa Waislamu ni Mtume Muhammad saw na sio Alii, wala yeye hakujitangaza kuwa ni mkombozi,Maswahaba wengi wamepigana Gazwa na Maarak kibao na wte wana Daraja sw mble ya Allah.Dini ya Uislamu sio dini ya ushabiki ,Simamisha swala 5 tenda wema,Hakuna mtu atabeba mzigo wa mwenzie Yaumuk Qiama.
 
Back
Top Bottom