PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,126
- 849
Nadhani Ubinadamu kwanza ndio muhimu kiukweli Wasudani wanapitia hali mbaya sana wanahitaji Msaada. Ni bahati mbaya Nchi za Kiafrika ni kama walishazoea damu ya watu hawana macho na wazungu mtu mweusi kufa kwao ni Kama Mjusi tu.Wewe bwana una shida gani hasa kichwani mbona dini unaipa kipaumbele sana hata kwenye topics za ajabu ajabu.
Acha nikuulize swali, wewe binafsi waislam walikufanya kitu gani kibaya mpaka kufikia hatua hii ya kuwachukia kupitiliza ?