That’s is last and not love.
Kutamani huisha ukishapata/ukishakula
Upendo hudumu hata usipomiliki.
Not lust Kassie. Hata suala la kupata mwenza imekuwa changamoto kutokana na hiyo hali.That’s is last and not love.
Kutamani huisha ukishapata/ukishakula
Upendo hudumu hata usipomiliki.
Not lust Kassie. Hata suala la kupata mwenza imekuwa changamoto kutokana na hiyo hali.
Naweza mpata nikasema the woman will be my baby mama but baada ya kushiriki tendo tu. Unakuta napoteza hisia kabisa.
Lust
Sawa mkuu nimekuelewa sana. Najitahidi kupambana na hii hali sana. I know everything will be okay.Hisia zako zimejengeka katika matamanio ya kimwili kuliko upendo.
Sawa sex ni kichocheo muhimu sana katika mapenzi lakini si kila kiti katika mapenzi.
Kwamba unampenda mtu kwa sababu ya kuhitaji uchi wake tu na punde baada ya kumlala unakosa hamu naye.
Ni swala la kisaikolojia zaidi Mkuu!.
Usiwagonge basi ili hisia ziendelee kuwepo!Not lust Kassie. Hata suala la kupata mwenza imekuwa changamoto kutokana na hiyo hali.
Naweza mpata nikasema the woman will be my baby mama but baada ya kushiriki tendo tu. Unakuta napoteza hisia kabisa.