Sudden loss of interest & feelings for someone you love

Sudden loss of interest & feelings for someone you love

Kwa haraka haraka "nadhani" unayo hormone imbalance yaani testosterone hormone unayo nyingi kwenye damu kwa maneno mengine inazalishwa kwa wingi. Nenda kamuone Dr kama ni lazima.
Duhhh.
 
IMG_0537.jpg
 
Hello Ladies & gentlemen, hope all is well with you.

Bila kupoteza muda naombeni kujua ni kwa nini mtu hupoteza upendo na hisia kwa haraka sana mara tu baada ya kufanya mapenzi.

Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana kwamba huwa napenda sana kwa muda mfupi na kabla ya kufanya mapenzi na nimpendaye unakuta naonesha mapenzi yote ila baada ya muingiliano wa kimwili unakuta napoteza upendo, hisia na kila kitu juu yake physically, emotionally & spiritually.

Karibuni kwa michango.

Ahsanteni.

Hata mimi nipogi hivyo na sijajua nikwanini
 
Punguza kuangalia Hollywood/Netflix whatever these niggas be watchin nowdays..

Inawezekena kupitia movies /life style yako ..ubongo wako psychologically unaanza kubadilika ..

Muda simrefu utakuwa Gay na utavutiwa /kupenda same Gender
 
Jifanyie Research ndogo Kuwa kama Wanguzu. Tafuta mademu 6 then fanya rotation kwa ambaye utakuwa na hamu naye tu.

Wanaume huwa tunapoteza appetite kwa mpenzi mmoja tukiwa naye kwa muda mrefu. Huu ndio UKWERIIII. Sema kiwango cha uvumilivu tunatofautiana tu.

Ndio maana wazee wetu walikuwa wanaoa wanawake wakutosha. Hii inasaidia kunogesha mahusiano na kuzidisha hamu. Leo ukienda kwa Shunie amekupikia pilau chumba full marashi ya zanzibar, kesho kwa Hannah unakuta mtori wa nyama... mambo bambam.

Anza na watatu kwanza utakuja kunishukuru baadae.
 
Punguza kuangalia Hollywood/Netflix whatever these niggas be watchin nowdays..

Inawezekena kupitia movies /life style yako ..ubongo wako psychologically unaanza kubadilika ..

Muda simrefu utakuwa Gay na utavutiwa /kupenda same Gender
Ulivyovisema hata sivijui mkuu.

Hollywood/Netflix ni nini mkuu au ni pono mpya?

Why are you talking about gays issues brother?

Hope you are a gay Mr. 6Was9. I don't need a gay. I need a woman.

Hope you missed my gist brother. My is mfano 6Was9 kikakupiga mambo. Unakuta sikutaki tena bali huwa nahitaji nipate mbunye mpya.
 
Back
Top Bottom