Sudden loss of interest & feelings for someone you love

Sudden loss of interest & feelings for someone you love

Tuko wengi mkuu, hilo ni pepo tu usipokemea hutaoa, mi mwaka wa tano huu nachakata tu nakukinai siku hiyohiyo.
 
Hello Ladies & gentlemen, hope all is well with you.

Bila kupoteza muda naombeni kujua ni kwa nini mtu hupoteza upendo na hisia kwa haraka sana mara tu baada ya kufanya mapenzi.

Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana kwamba huwa napenda sana kwa muda mfupi na kabla ya kufanya mapenzi na nimpendaye unakuta naonesha mapenzi yote ila baada ya muingiliano wa kimwili unakuta napoteza upendo, hisia na kila kitu juu yake physically, emotionally & spiritually.

Karibuni kwa michango.

Ahsanteni.


Wewe una nguvu-dume za soda. Yaani unashikwa na hamu kali sana mara baada ya tendo hamu yote kwishne. Pole sana.
 
Nami nilikuwa ivoivo japo mi ni mwanamke,ila kwa bahati mbaya Siku nimempata ninayempenda kweli kumbe nae mpitaji....nami nikazinguliwa ivo .
Pole sana. Ulijihisi kufakufa uongo?
 
Wewe una nguvu-dume za soda. Yaani unashikwa na hamu kali sana mara baada ya tendo hamu yote kwishne. Pole sana.
Hahahahahahhah.
Hiki ni kitu kipya kwangu mkuu.
Nifanyeje sasa mkuu?
 
Hahahahahahhah.
Hiki ni kitu kipya kwangu mkuu.
Nifanyeje sasa mkuu?


Kwa haraka haraka "nadhani" unayo hormone imbalance yaani testosterone hormone unayo nyingi kwenye damu kwa maneno mengine inazalishwa kwa wingi. Nenda kamuone Dr kama ni lazima.
 
Back
Top Bottom