Sudden loss of interest & feelings for someone you love

Tuko wengi mkuu, hilo ni pepo tu usipokemea hutaoa, mi mwaka wa tano huu nachakata tu nakukinai siku hiyohiyo.
 

Wewe una nguvu-dume za soda. Yaani unashikwa na hamu kali sana mara baada ya tendo hamu yote kwishne. Pole sana.
 
Nami nilikuwa ivoivo japo mi ni mwanamke,ila kwa bahati mbaya Siku nimempata ninayempenda kweli kumbe nae mpitaji....nami nikazinguliwa ivo .
Pole sana. Ulijihisi kufakufa uongo?
 
Wewe una nguvu-dume za soda. Yaani unashikwa na hamu kali sana mara baada ya tendo hamu yote kwishne. Pole sana.
Hahahahahahhah.
Hiki ni kitu kipya kwangu mkuu.
Nifanyeje sasa mkuu?
 
Hahahahahahhah.
Hiki ni kitu kipya kwangu mkuu.
Nifanyeje sasa mkuu?


Kwa haraka haraka "nadhani" unayo hormone imbalance yaani testosterone hormone unayo nyingi kwenye damu kwa maneno mengine inazalishwa kwa wingi. Nenda kamuone Dr kama ni lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…