Sufuria mpya haiivishi ugali, kwanini?

uganda wana mahindi mazuri kweli? ugali wa malawi mtamu sio mzuri au wa zambia yaani unaweza kula debe
Unga wa Uganda ni mzuri sana, kuanzia texture yake ni laini sana, packaging yake pia una ladha kama ya sembe ile ya kuloeka.
 
Huuu ni uongo mtupu, kitu unatumia gesi kweli kisiive chakula, kimekuwa chuma ata haiji
 
wakati mwingine kuna kaukweli,ila ikiendelea hivo weka unga wa dona kwa chini kabla hujamimina maji,utanipa mrejesho by senior bachelor
 
Kwahiyo pumba zinaiva kwenye sufuria iliyotumika tu?


Haupaswi kupika Pumba, unapaswa kupika chakula na nijuavyo mimi kila sufuria inaivisha chakula na haijalishi ni mpya au kukuu!
 
Hiyo wamechakachuwa material transmision of heat is poor. Bola ifunge tu au pikia chai
 
Maji yaliyochemka.

Kiroga uji wacha uchemke muda mrefu (hapa ndio ulipo ufundi wa ugali) uji usiwe mwepesi sana wala mzito sana uwe wa kati na kati . Kisha weka unga kiasi cha kuivishia ugali acha vichemke kwa pamoja hata kwa 5 min . Ukitoa ugali mbichi kwenye hiyo sufuria yako mpya basi ujue kuna mchawi jikoni kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani Upogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…