Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Unga wa Uganda ni mzuri sana, kuanzia texture yake ni laini sana, packaging yake pia una ladha kama ya sembe ile ya kuloeka.uganda wana mahindi mazuri kweli? ugali wa malawi mtamu sio mzuri au wa zambia yaani unaweza kula debe