Suge Knight anasema 2Pac hajafa!!

Mtoto wa Suge anasema tupac anaishi Malaysia na katoa na picha alizopiga na celebrities flani hivi wa Marekani.
 

- Alyssa Alyssa
 

"Pac I cry when I heard u die. I felt a sharp pain in my chest. I smoke a blunt for u. I was 15 , now I am 37. I tell everyone u real the the greatest mc ever. U taught me about everything when it comes to music. Ppl called me lil Tupac . Now I see why, if I ever meant u, I would be your little Bru u never had. Love your biggest fan Bebob"
- Robert Richardson
 
Hii stori siku hizi haiizi tena.
 
Suge ambaye alikuwa kwenye gari wakati 2 Pac anapigwa risasi amesema kwenye interview na Ice T na mwandishi Soledad O’Brien “Nilipoondoka Hospitalini baada ya 2 Pac kuhudumiwa kutokana na kupigwa risasi, alikuwa powa tu na tulitaniana na kucheka, Sioni jinsi gani mtu anaweza badilika hali kutoka kuwa na nafuu mpaka kuwa na hali mbaya kabisa”

Ni kweli 2Pac alikua fresh.
Halafu najiuliza ni kwa nini mwili wake uchomwe fasta? hata kama
ni taratibu zao za mazishi hili haliingi akilini kuna kitu kinafichwa.
 
Yuko Ilala na Chid Benz wanaandaa jiwe kali la karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…