Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Mtoto wa Suge anasema tupac anaishi Malaysia na katoa na picha alizopiga na celebrities flani hivi wa Marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupac Amaru ShakurOmar Shakur ndio nani tena?
Zile picha za Kitambo ukienda YouTube searc People Who Look Like 2PacMtoto wa Suge anasema tupac anaishi Malaysia na katoa na picha alizopiga na celebrities flani hivi wa Marekani.
- Alyssa Alyssa"whoever made this video is a pure genius because Michael Jackson and 2pac was both misunderstood by everyone but the best people you could ever meet. the only thing I dont like is the cursing though. But I understood both of them especially I understood what Michael went through im a understanding person I dont judge people by their looks"
Hii stori siku hizi haiizi tena.Katika pitapita nikakuta blog ya Sammisago akiwa ameandika hii story
===============================
Suge Knight asema hana imani kuwa 2 Pac amekufa
Share Habari Na Marafiki Zake
Kwenye Interview ndefu itakayoruka weekend hii nchini Marekani ikiwa na ushahidi mpya kuhusu kifo cha 2 Pac, mmiliki wa Death Row Records Suge Knight amesema hana uhakika kama 2 Pac amekufa.
Suge ambaye alikuwa kwenye gari wakati 2 Pac anapigwa risasi amesema kwenye interview na Ice T na mwandishi Soledad O’Brien “Nilipoondoka Hospitalini baada ya 2 Pac kuhudumiwa kutokana na kupigwa risasi, alikuwa powa tu na tulitaniana na kucheka, Sioni jinsi gani mtu anaweza badilika hali kutoka kuwa na nafuu mpaka kuwa na hali mbaya kabisa”
Akaulizwa Je 2 Pac Yuko hai, alijibu> Nakwambia, Jinsi alivyo 2 Pac, huwezi kujua.
Interview hii inaitwa “Who Shot Biggie & Tupac?” itaruka Jumapili hii ikiongelea mauwaji ya wasanii wakubwa wa hiphop Christopher “The Notorious B.I.G.” Wallace na 2Pac.
Shakur alifariki Sept. 13, 1996 baada ya kupigwa risasi mjini Las Vegas na Wallace alifariki March 9, 1997 baada ya kupigwa risasi mjini Los Angeles.
Waliofanya mauwaji haya hawajawahi kukamatwa.
Suge Knight asema hana imani kuwa 2 Pac amekufa – Home-Sammisago.Com
hahaaa Jf bwanaPengine tupac alichukuliwa msukule na Freemasons wa marekani atakuwa anachunga ng'ombe wa akina Bush huko Texas