Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

Sugu alimtelekeza marehemu John Walker

Kwani Sugu alikuwa baba wa malehemu mpaka amtelekeze. hata kama John amewahi kumsaidia Sugu katika harakati fulani je makubaliano yalikuwa kubebana baada ya hapo. waswahili wanasema tenda wema uende zako. tujifunze tunapomsaidia mtu tusitegemee chochote kama mlejesho.
 
Kwanza kabisa natoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba wa msanii John Walker.
Pili nasikitika kusema nasikitishwa sana na ambavyo mbunge wa Mbeya mjini Mr Sugu alivyomtelekeza John Walker kiasi aliishi maisha magumu sana mpaka kifo chake.

Mnatakiwa kufahamu John Walker, Mapacha, Mkoloni na G Solo ndio wasanii waliopigana bega kwa bega kuakikisha Sugu anaingia bungeni hiyo ni mwaka 2010. Walijitoa kwa hali na mali kuakikisha Sugu anapata ubunge. Walichangisha michango, walisimama kwenye kampeni bila malipo ili kamanda aingie mjengoni.

Baada ya kuukwaa ubunge John Walker akawa ndio dereva wake wa kwanza wa mbunge Sugu. Walishiriki nae kwenye movement nyingine ya Anti virus ambayo Sugu aliwaaminisha wenzake wanapigania maslahi ya muziki wa bongofleva. Mwisho wa siku Sugu alipppata pesa yake aliyodhulumiwa na Ruge akaenda kimya kimya kupatana na Ruge kisha mzozo ukaanzia hapo. Akawapiga chini rafiki zake wote waliojiita vinega akiwemo dereva wake John Walker akamwondoa kwenye kazi ya udereva na Walker akarudi mtaani kubangaiza kwa kazi ya ufundi wa magari na kuchomelea vyuma.
Tangia anaumwa mpaka anakata roho marehemu akuwai kupata msaada wowote wala salamu ya pole toka kwa rafiki yake kipenzi wa zamani Sugu.

Ama kweli maskini akipata...........
Aliumwa lini wakati taarifa ZINASEMA ALILIPUKIWA NA GESI Akiwa anarekebisha gari gereji?! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Pumzika kwa Amani kaka Michael D.. John Walker.. Wa2Ku2.

Kazi yake MOLA.. Haina Makosa.
 
Kijana kapata ajali leo, kesho alfajiri katwaliwa, huyo sugu atoke mbeya kwa spidi gani,
Tatizo la vijana wa sasa hata ukimpa ajira unaweza kujuta kwa hizo tabia zao,
Pumzika kwa amani Kijana; lako mbele yetu nyuma.
 
Kijana kapata ajali leo, kesho alfajiri katwaliwa, huyo sugu atoke mbeya kwa spidi gani,
Tatizo la vijana wa sasa hata ukimpa ajira unaweza kujuta kwa hizo tabia zao,
Pumzika kwa amani Kijana; lako mbele yetu nyuma.

SUGU NDO NANI... mana hata me nnasugu.....
 
Hii mada imekaa kiuchochezi hivi maswala mengine ni person ila kifo ni kifo hayo mengine ni maneno tu
 
Mtoa post jiangalie Marehem walker hakuwahi kuwa na urafiki wa karibu na sugu,wala hakuwahi kuwa dereva wa sugu wala dereva wa magari nmemfaham walker kitambo sana na hakuwa fundi kama unavyoongea Dereva wa sugu alikuwa mkoloni(Fred) na pia ali act kama katibu wake hata hvyo kwa muda mchache kabla hawajatofautiana na kuungana tena hivi karibuni kumbuka hyo anti virus alishiriki zaidi Danny Msimamo
 
Msimseme vibaya Sugu, vinega ilikufa kwa sababu hawakuwa na redio na aina ya muziki wao haupendwi na wanawake na watoto.
Sugu alipatana na Ruge, Mapacha nao kwa wakati wao walienda kwa Ruge.
Mkoloni ni dereva na msaidi Wa mbunge.
Mtoa mada una chuki zako binafsi na Sugu
 
Issue ya kumtelekeza haioanishwi na kifo!
Hebu soma maandiko kwa makini!
Timing tu ya huyu mleta mada ndio tata, lkn context yake iko clear kabisa kuwa Sugu aliwatosa jamaa aliofight nao ili apate ubunge na miongoni mwao ni marehemu John Walker!
Watu Wa tanga walimpaje Sugu ubunge Wa kwao huko Mbeya?
Isanga family, Adili Chapakazi, Gabby BBG, na watu Wa Mbeya ndio walimsaidia Sugu. Vinega ilianza Sugu akiwa mbunge
 
Pumzika panapostahili mtumbuizaji john walker.....
 
Back
Top Bottom