KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Duuuh walker kadedi aiseii???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know nothing about Antivirus movement. Just shut the f up.
onyesha uhusika wa Walker kwenye ant virus,acha porojoYou know nothing about Antivirus movement. Just shut the f up.
Aliumwa lini wakati taarifa ZINASEMA ALILIPUKIWA NA GESI Akiwa anarekebisha gari gereji?! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwanza kabisa natoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba wa msanii John Walker.
Pili nasikitika kusema nasikitishwa sana na ambavyo mbunge wa Mbeya mjini Mr Sugu alivyomtelekeza John Walker kiasi aliishi maisha magumu sana mpaka kifo chake.
Mnatakiwa kufahamu John Walker, Mapacha, Mkoloni na G Solo ndio wasanii waliopigana bega kwa bega kuakikisha Sugu anaingia bungeni hiyo ni mwaka 2010. Walijitoa kwa hali na mali kuakikisha Sugu anapata ubunge. Walichangisha michango, walisimama kwenye kampeni bila malipo ili kamanda aingie mjengoni.
Baada ya kuukwaa ubunge John Walker akawa ndio dereva wake wa kwanza wa mbunge Sugu. Walishiriki nae kwenye movement nyingine ya Anti virus ambayo Sugu aliwaaminisha wenzake wanapigania maslahi ya muziki wa bongofleva. Mwisho wa siku Sugu alipppata pesa yake aliyodhulumiwa na Ruge akaenda kimya kimya kupatana na Ruge kisha mzozo ukaanzia hapo. Akawapiga chini rafiki zake wote waliojiita vinega akiwemo dereva wake John Walker akamwondoa kwenye kazi ya udereva na Walker akarudi mtaani kubangaiza kwa kazi ya ufundi wa magari na kuchomelea vyuma.
Tangia anaumwa mpaka anakata roho marehemu akuwai kupata msaada wowote wala salamu ya pole toka kwa rafiki yake kipenzi wa zamani Sugu.
Ama kweli maskini akipata...........
Kijana kapata ajali leo, kesho alfajiri katwaliwa, huyo sugu atoke mbeya kwa spidi gani,
Tatizo la vijana wa sasa hata ukimpa ajira unaweza kujuta kwa hizo tabia zao,
Pumzika kwa amani Kijana; lako mbele yetu nyuma.
Sasa mbona unasema tangu kuumwa kwakeKalipukiwa na gesi gereji akalazwa muhimbili
Watu Wa tanga walimpaje Sugu ubunge Wa kwao huko Mbeya?Issue ya kumtelekeza haioanishwi na kifo!
Hebu soma maandiko kwa makini!
Timing tu ya huyu mleta mada ndio tata, lkn context yake iko clear kabisa kuwa Sugu aliwatosa jamaa aliofight nao ili apate ubunge na miongoni mwao ni marehemu John Walker!