Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nisipopiga umbeya hiyo bidhaa sitaipata maana haipo madukani? Kama ipo hawa wafanya biashara wanakamatiwa nn sasa?Unataka nani akuletee sukari hapo ulioobweteka ukipiga umbeya wako.
Inzi wa kijani hupatikana chooniUwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa Rais wa umoja wa mabunge Duniani na dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini
Uchaguzi ujao tunaenda kumbwaga huyo kimbaumbau wako.Uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa Rais wa umoja wa mabunge Duniani na dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini
Huwezi ukaondoa huo umasikini wako na ujinga kwa kuwa chawa.Sipendi dharau .napenda kiongozi na mtu mwenye uzalendo,utu, unyenyekevu, ubinadamu, uungwana,mcha Mungu,huruma,upendo na mwenye kujali watu na kuwa na uchungu na maisha ya watu. Sipendi viongozi na watu aina ya sugu wenye viburi,dharau,kejeli,uroho na uchu wa madaraka,wanafiki,waropokaji,wenye mihemuko na wenye akili za kitoto na wasiojitambua. Watu kama sugu hawafai hata kidogo kuwa viongozi.
Umesahau sifaingine ya Sugu!!Amemzalisha Mdangaji Maarufu pale Kinondoni.Wewe na Sugu nani Limbukeni?
1.Mwenzio anamiliki Hotels
2.Mwenzio anapesa
3.Mwenzio ameishi Marekani
4.Mwenzio amekuwa mbunge
5.Mwenzio anamke mzuri
Wewe unamiliki yafuatayo
1.Huna hela
2.Wewe ni chawa
3.Unamiliki mbupu tu hapo ulipo
4.Huna akili timamu( Hakuna mtu mwenye akili timamu anayemfungulia mwanaume mwenzie uzi kisha cheni)
5.Kutwa kushinda mitandaoni
6.Kwenu masikini
Kijana pambana kwa ajili ya familia yako na Kizazi chako,Acha UJINGA,UJUHA,UZWAZWA
Wenye dharau ni wale wanaokusanya kodi za wananchi alafu wanazitumia kujinufaisha na matumbo yao.wananchi wakihoji wanaonekana wakorofi.Kikubwa acheni dharau kwa watanzania.hao ndio waliowafikisheni hapo mlipo.
Wewe na sugu nyote akili zenu ni zile zile za kitoto kitoto tu.hamjitambui hata kidogo.
Wewe nilishasema siku nyingi sana kuwa huna akili hata kidogo...Mbona humsemi Bashite?
..Makalio ya bandia aliyowekewa yana thamani gani?
..Je, kiongozi wa umma kuwa na makalio ya bandia wakati wakinamama wanataabika kwa kukosa huduma za uzazi sio ulimbukeni na ukosefu wa maadili?
Ulitaka amzalishe Maza ako?Umesahau sifaingine ya Sugu!!Amemzalisha Mdangaji Maarufu pale Kinondoni.
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Yaaan ww kumfikia Sugu bado sana sisi tunakua tunasikilia ngoma za sugu moto chini wakati huo ww unakula matoke huko ww ndo uje upambane na msela wa zamani.Sugu ni msela sasa ww na akili kisoda utahangaika sana.Akili yako ni ndogo sana na bila shaka ni zile akili ndogo za sugu za ulimbukeni.
Ndio maana Mbeya mjini kwa sasa imepiga stop katika sanduku la kura .maana wana Mbeya hawapo tayari kuongozwa na mhuni mhuni asiyejitambua kama Sugu.Yaaan ww kumfikia Sugu bado sana sisi tunakua tunasikilia ngoma za sugu moto chini wakati huo ww unakula matoke huko ww ndo uje upambane na msela wa zamani.Sugu ni msela sasa ww na akili kisoda utahangaika sana.
Kodi za wananchi zinatumika vizuri na ndio maana miradi ya maendeleo inachipua kila sehemu ya Taifa letu.Wenye dharau ni wale wanaokusanya kodi za wananchi alafu wanazitumia kujinufaisha na matumbo yao.wananchi wakihoji wanaonekana wakorofi.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM hatuja watu wajinga wajinga kama wewe. Kwako wewe ni kwa nyumbu wenzio wa CHADEMA huko ndio makao yakoLicha ya UCCM wangu nilipoona neno 'Chadema imelaaniwa.., ' nadhani uzi wote utakuwa Pumba tu.
Umekazania kujadili watu baada ya hoja, nani ameilaani chadema?
WE jamaa ww
Ni malimbukeni sana wale jamaa.Ila kusema ukweli Sugu ni mshamba mshamba sana pamoja na Lema
CCM Ina watu wanaojitambua na wala haina watu aina yako wasiojitambua.Kichwa cha habari ni kauli ya Sugu.
Ndani unasema CHADEMA imelaaniwa, mara Chadema inatembeza watu kwenye mvua.
Mnatutia aibu wanaccm
Huna adabu wewe.unagikiri Mbeya ni jimbo la wahuni na wajinga kama wewe ? Mbeya wanajitambua ndio maana walimtupa sugu na Makopo yakeUchaguzi ujao tunaenda kumbwaga huyo kimbaumbau wako.