Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

Unataka nani akuletee sukari hapo ulioobweteka ukipiga umbeya wako.
Hata nisipopiga umbeya hiyo bidhaa sitaipata maana haipo madukani? Kama ipo hawa wafanya biashara wanakamatiwa nn sasa?
Wewe una akili kama za chalamila tu
 
Sipendi dharau .napenda kiongozi na mtu mwenye uzalendo,utu, unyenyekevu, ubinadamu, uungwana,mcha Mungu,huruma,upendo na mwenye kujali watu na kuwa na uchungu na maisha ya watu. Sipendi viongozi na watu aina ya sugu wenye viburi,dharau,kejeli,uroho na uchu wa madaraka,wanafiki,waropokaji,wenye mihemuko na wenye akili za kitoto na wasiojitambua. Watu kama sugu hawafai hata kidogo kuwa viongozi.
Huwezi ukaondoa huo umasikini wako na ujinga kwa kuwa chawa.
 
Wewe na Sugu nani Limbukeni?

1.Mwenzio anamiliki Hotels
2.Mwenzio anapesa
3.Mwenzio ameishi Marekani
4.Mwenzio amekuwa mbunge
5.Mwenzio anamke mzuri

Wewe unamiliki yafuatayo

1.Huna hela
2.Wewe ni chawa
3.Unamiliki mbupu tu hapo ulipo
4.Huna akili timamu( Hakuna mtu mwenye akili timamu anayemfungulia mwanaume mwenzie uzi kisha cheni)
5.Kutwa kushinda mitandaoni
6.Kwenu masikini

Kijana pambana kwa ajili ya familia yako na Kizazi chako,Acha UJINGA,UJUHA,UZWAZWA
Umesahau sifaingine ya Sugu!!Amemzalisha Mdangaji Maarufu pale Kinondoni.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Wewe na sugu nyote akili zenu ni zile zile za kitoto kitoto tu.hamjitambui hata kidogo.

..Mbona humsemi Bashite?

..Makalio ya bandia aliyowekewa yana thamani gani?

..Je, kiongozi wa umma kuwa na makalio ya bandia wakati wakinamama wanataabika kwa kukosa huduma za uzazi sio ulimbukeni na ukosefu wa maadili?
 
Wewe nilishasema siku nyingi sana kuwa huna akili hata kidogo.
 
Akili yako ni ndogo sana na bila shaka ni zile akili ndogo za sugu za ulimbukeni.
Yaaan ww kumfikia Sugu bado sana sisi tunakua tunasikilia ngoma za sugu moto chini wakati huo ww unakula matoke huko ww ndo uje upambane na msela wa zamani.Sugu ni msela sasa ww na akili kisoda utahangaika sana.
 
Ndio maana Mbeya mjini kwa sasa imepiga stop katika sanduku la kura .maana wana Mbeya hawapo tayari kuongozwa na mhuni mhuni asiyejitambua kama Sugu.
 
Licha ya UCCM wangu nilipoona neno 'Chadema imelaaniwa.., ' nadhani uzi wote utakuwa Pumba tu.

Umekazania kujadili watu baada ya hoja, nani ameilaani chadema?

WE jamaa ww
 
Licha ya UCCM wangu nilipoona neno 'Chadema imelaaniwa.., ' nadhani uzi wote utakuwa Pumba tu.

Umekazania kujadili watu baada ya hoja, nani ameilaani chadema?

WE jamaa ww
CCM hatuja watu wajinga wajinga kama wewe. Kwako wewe ni kwa nyumbu wenzio wa CHADEMA huko ndio makao yako
 
Kichwa cha habari ni kauli ya Sugu.

Ndani unasema CHADEMA imelaaniwa, mara Chadema inatembeza watu kwenye mvua.

Mnatutia aibu wanaccm
 
Back
Top Bottom