Sugu amnunulia mpenzi wake gari la kifahari!!

Naamini sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia dhamana aliyopewa na Wanajamii wake...hivyo kuwalipa kwa kula kuku kwa mrija na kuwaita waje dirishani kushuhudia ni akili a mtu ambaye hajapevuka....na hastahili kuwa kiongozi.

Musa alitembea na kuteseka na Wanaisrael, unadhani Mungu alishindwa kumpa Musa uwezo wa kukwepa zile adha?

Uongozi ni wito na kujitoa muhanga, hebu tusitetee mapungufu ya viongozi.
 
Hivi watu hamtofautishi maisha binafsi na uongozi ina maana viongozi hawaruhusiwi kuwazawadia wake zao vitu vizuri kwani sugu ndio wa kwanza kufanya hivyo mbona viongozi wakubwa wa nchii wake zao wanatembelea harmar shoping ulaya matibabu ulaya hayo hamjayaona msiwe wavivu wa kufikiria ya sugu ni ya kawaida sana maana hata nae pia ni kidume mlitaka ampe baiskeli ?mi naona hata baiskeli mngesema tu maana midomo yetu hailipii vat .Sio kana kwamba sugu hatekelezi majukumu na ahadi anatekeleza sana tu .
 


Watu wengine wanapenda kufanya life ionekane ngumu kweli.Sasa kwenye hiyo picha sijaona ubaya wowote ila watu wanataka kuleta complications tu.
 
ila hichi kivazi kinaendana na rais wa marekani au sio ??

Kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri, hao wanaovaa kiheshima kila siku suti na tai wameliletea nini taifa hili
 
Ulitaka afiche mali zake kama viongoz wako wa serikali ambao baada ya muda taarifa zao huwa zinavuja wamejineemesha kwa mikataba ya kifisad
 
Ni vizuri tu wanasema moyo ukipenda hula nyama mbichi ila ange mkumbuka hata yule bwana mdogo Mr.Blue japo kwa kazawadi tu kwa ajili ya Harusi yake.
 
Kajinunulia mwenyewe Ila anataka kujifanya kanunuliwa an sugu..yeye ndio anamuhonga sugu, sugu huwa hatoi hela kwa mwanamke hata iwaje,. Huyo dada ndio anagharamia vitu vingi vya sugu,. Wema wanna be,sioni tofauti yake na faiza angekuwa mstaarabu asingekuwa anamtukana faiza kwa account fake..like faiza like happy. Ziro brain.
 
Faiza wa sugu anakaribia kujinyonga
Hakawii kwenda studio na pampas kulalamika[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…